Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakulima watambulike kikatiba — Matango

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Reuben Matango, ametaka kundi la wakulima kutambuliwa kisheria na kuingizwa katika Katiba mpya tofauti na ilivyo sasa. Akizungumza na Tanzania Daima muda mfupi baada...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wazee wadai kutengwa kikatiba

WAWAKILISHI wa Mashirika yanayotetea wazee nchini (TSPN), wameililia serikali na viongozi wa dini kwamba wametengwa kwa kuwa rasimu iliyopendekezwa haijawazungumzia. Hayo yanatokana na ongezeko la vifo vya wazee vitokanavyo na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wavuvi wapiganiwa kutambuliwa kikatiba

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Issa  Suleiman anayetokea  Zanzibar kupitia kundi la wavuvi amesema kuwa anataka kundi hilo litambuliwe kikatiba. Akizungumza na Tanzania Daima Jumatano jana alisema kuwa kundi...

 

11 years ago

Mwananchi

Mvutano wa kikatiba wafukuta AFP

Mgongano zaidi umejitokeza kwenye Chama cha Alliance of Tanzania Farmers (AFP) baada ya Katibu Mkuu wa chama hicho, Rashid Rai kusema kwamba hakuna kifungu cha katiba yao kinachoruhusu kumfukuza mwanachama bila ya baraka za Mkutano Mkuu wa Taifa

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Haki ya ardhi itambuliwe kikatiba’

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Reuben Matango kutoka kundi la wafugaji, amesema ni vema haki ya ardhi na maji vikaingizwa katika katiba. Akizungumza na Tanzania Daima jana katika mahojiano...

 

10 years ago

Mwananchi

Ulinzi wa viongozi wastaafu uwekwe kikatiba

Serikali imesema inapitia upya utaratibu wa ulinzi wa viongozi wastaafu ili kuepuka fedheha iliyotokana na vurugu alizofanyiwa Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba hivi karibuni.

 

10 years ago

Habarileo

Kikwete: Uraia pacha ni suala la kikatiba

RAIS Jakaya Kikwete amewaambia Watanzania waishio nje ya nchi kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake, hawana pingamizi juu ya Watanzania hao kuwa na uraia wa nchi mbili, lakini akasema kwa kuwa suala hilo ni la Kikatiba, hana mamlaka yote ya kulihalalisha.

 

10 years ago

GPL

JAJI WA KORTI YA KIKATIBA ATOROKA BURUNDI

Machafuko nchini Burundi. Jaji ambaye ni Makamu wa rais wa mahakama ya katiba nchini Burundi anaripotiwa kuondoka nchini humo kabla ya kutolewa kwa uamuzi iwapo ni halali kwa rais wan chi hiyo kugombea muhula wa tatu. Jaji Sylvere Nimpagaritse aliliambia shirika la habari la Ufaransa kuwa, mahakama ilikuwa imekabiliwa na shinikizo vikiwemo vitisho vya kuuawa ili kuweza kuidhinisha hatua ya rais Pierre Nkurunzia kuweza kusallia...

 

10 years ago

Mwananchi

MGOGORO WA KIKATIBA: Malinzi avunja kamati zote

>Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi amefanya mabadiliko kwenye kamati zote, ikiwa ni miezi isiyopungua kumi baada ya kuziunda

 

9 years ago

Michuzi

BENKI YA WAKULIMA YAMWAGA MIKOPO KWA WAKULIMA

Baada ya kilio cha muda mrefu, hatimaye, wakulima wadogo 21,000 walio katika vikundi 89 vya ushirika katika Kata ya Igomaa, mkoani Iringa keshokutwa wanatarajiwa kupatiwa mikopo yenye thamani ya zaidi ya shbilioni 1 kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) nchini kwa ajili ya maendeleo ya shghuli zao za kilimo. Akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam juzi, Mkurugenzi wa Mikopo na Usimamizi wa Biashara wa benki hiyo, Robert Pascal alisema maandalizi kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani