Wazee wadai kutengwa kikatiba
WAWAKILISHI wa Mashirika yanayotetea wazee nchini (TSPN), wameililia serikali na viongozi wa dini kwamba wametengwa kwa kuwa rasimu iliyopendekezwa haijawazungumzia. Hayo yanatokana na ongezeko la vifo vya wazee vitokanavyo na...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Wafugaji wadai kuanza kutengwa
Wajumbe wa Bunge la Katiba kutoka kundi la wafugaji, , wakulima na Wavuvi wameeleza kuanza kutengwa katika mijadala ya Katiba mpya kutokana na bunge kujikita katika masuala ya kisiasa.
11 years ago
Mwananchi14 Mar
Wazee wa CCM wadai kupoteza imani na Kificho
Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, limesema limepoteza imani na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho kutokana na waraka aliouandika na kuwasilishwa kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa niaba ya Baraza la Wawakilishi ukipendekeza Tanganyika na Zanizbar ziwe mamlaka huru za dola.
11 years ago
BBCSwahili08 Aug
Aliyepona Ebola akimbiwa na kutengwa
Baadhi ya walioambukizwa ugonjwa wa ebola wamepona lakini pamoja na kupona bado haiwafanyi kukwepa kunyanyapaliwa.
11 years ago
Mwananchi21 Feb
Alat yalalamika kutengwa kwenye Rasimu ya Katiba Mpya
>Mwenyekiti wa Jumuiya ya Serikali za Mitaa (Alat) Taifa, Didas Masaburi ameitaka Serikali Kuu kutangaza kutokuzitambua Serikali za Mitaa endapo inaona kuwa hazina umuhimu.
10 years ago
VijimamboMATUKIO KATIKA PICHA YA MTANANGE WA WAZEE WA KUNDUCHI YANGA 0 NA WAZEE WA SAUZI SIMBA 0
MATOKEO KAMILI YA MECHI ZA LIGI KUU KATIKA VIWANJA SITA HII LEO:-
YANGA 0- SIMBA 0
NDANDA...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-_4VpB64T0rk/VkxWeOujQYI/AAAAAAAIGiQ/ixNGoCOrv84/s72-c/viwanda%252Bpicha.jpg)
Bilioni Mbili kutengwa kwa ajili ya kusaidia utafiti wa zao la Korosho
![](http://4.bp.blogspot.com/-_4VpB64T0rk/VkxWeOujQYI/AAAAAAAIGiQ/ixNGoCOrv84/s640/viwanda%252Bpicha.jpg)
Bodi ya Korosho Tanzania imeadhima kutoa asilimia 7 ya mapato yake sawa na shilingi bilioni mbili kwa ajili ya kusaidia utafiti wa zao hilo unaofanywa na kituo cha utafiti cha Naliendele.
Akiongea wakati wa kufunga kwa mkutano wa tatu wa kimataifa uliowahusisha wadau kutoka nchi mbalimbli duniani ,Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Korosho Tanzania Bw. Muhidhiri Muhidhiri amesema kuwa changamoto kubwa wanayokabiliana nayo ni ukosefu wa fedha kwa ajili ya...
5 years ago
MichuziWAZEE WAIPONGEZA SERIKALI SHINYANGA KUPUNGUZA MAUAJI YA WAZEE
Wazee wametoa pongezi hizo leo Machi 11,2020 kwenye kikao cha Baraza la Wazee Mkoa wa Shinyanga, kilichofanyika kwenye hospitali ya rufani ya mkoa wa Shinyanga, kilichokuwa na lengo la kujadili changamoto mbalimbali zinazowakabili na kuzitafutia ufumbuzi likiwamo suala la matibabu. Akisoma...
11 years ago
Tanzania Daima25 Mar
Wakulima watambulike kikatiba — Matango
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Reuben Matango, ametaka kundi la wakulima kutambuliwa kisheria na kuingizwa katika Katiba mpya tofauti na ilivyo sasa. Akizungumza na Tanzania Daima muda mfupi baada...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania