Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wazee wa CCM wadai kupoteza imani na Kificho

Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, limesema limepoteza imani na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho kutokana na waraka aliouandika na kuwasilishwa kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa niaba ya Baraza la Wawakilishi ukipendekeza Tanganyika na Zanizbar ziwe mamlaka huru za dola.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Wazee wadai kutengwa kikatiba

WAWAKILISHI wa Mashirika yanayotetea wazee nchini (TSPN), wameililia serikali na viongozi wa dini kwamba wametengwa kwa kuwa rasimu iliyopendekezwa haijawazungumzia. Hayo yanatokana na ongezeko la vifo vya wazee vitokanavyo na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kificho awatunishia msuli CCM

SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho, amesema hataachia uongozi wa baraza hilo hadi itakapothibitika iwapo amekiuka sheria na kanuni za uendeshaji wa Baraza la Kutunga Sheria Zanzibar....

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kificho asisimua makundi ya urais CCM

MZAHA wa Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, kwa wajumbe wa Bunge hilo kuhusu kuwepo kikao cha makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaotajwa kuutaka...

 

11 years ago

TheCitizen

House of Reps legislators from CCM disown Kificho statement

A controversy has ensued in Dodoma over what exactly were the proposals of the House of Representatives on the Union structure.

 

9 years ago

GPL

ESTER: BADO NINA IMANI NA CCM

Msanii wa filamu Bongo, Ester Kiama. Gladness Mallya MWANADADA kutoka kiwanda cha filamu Bongo, Ester Kiama amefunguka kwamba bado ana imani na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuiongoza nchi kwani kinao uwezo wa kutatua matatizo ya wasanii. Akichezungumza na gazeti hili, Ester alisema anaipenda CCM na anamsapoti mgombea wake wa urais, Dk. John Magufuli na kuwataka Watanzania wote kuungana naye kwani anaamini chama hicho kikishinda...

 

10 years ago

Mwananchi

Rais Kikwete alaumiwa CCM kupoteza viti Uchaguzi Serikali za Mitaa

Rais Jakaya Kikwete, ametupiwa lawama na makada wa CCM kwa kusababisha kushindwa CCM viti vingi katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, kutokana kuchelewa kutoa maamuzi juu ya sakata la wizi wa Tsh 306 bilioni katika akaunti ya  Tegeta Escrow.

 

5 years ago

Michuzi

Chadema wadai kutostushwa na madiwani wao kutimkia CCM


Na Amiri kilagalila,Njombe Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoa wa Njombe kimesema hakijashtushwa na taarifa za Madiwani wao watatu wa wilaya ya Makete kutangaza kuhamia Chama cha Mapinduzi CCM kwa kuwa walishakuwa na taarifa za kuwa wamekuwa wakitishwa kwa muda mrefu. Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe Rose Mayemba amesema kuwa licha ya madiwani hao kutotoa sababu hizo hadharani lakini kama chama kilishapata taarifa hizo kwa muda mrefu kwamba wamekuwa...

 

9 years ago

Mwananchi

CUF Z’bar wadai CCM imevunja mkutano wao

Chama cha Wananchi (CUF) kimedai wafuasi wa CCM walivuruga mkutano wa kampeni za mgombea wao wa urais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad uliofanyika juzi kwenye Viwanja vya Kwa-Binti Amrani, Wilaya ya Mjini Unguja.

 

10 years ago

Vijimambo

NAPE: CCM HAIWEZI NA WALA HAINA MPANGO WA KUPOTEZA HISTORIA YA MAHALA ILIPOZALIWA TANU

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa akizungumza kwenye ofisi ya gazeti la Jambo leo ikiwa sehemu ya ziara yake kwenye vyombo vya habari.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndg. Nape Nnauye amesema CCM haiwezi na wala haina mpango wa kupoteza historia ya mahali ilipozaliwa TANU.

Ameyasema hayo wakati akizungumza na wahariri wa gazeti la JamboLeo siku ya Ijumaa tarehe 6 februari 2015 alipotembelea ofisini kwao katika ziara ya kutembelea vyombo mbalimbali vya habari nchini.

Alisema kumekuwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani