Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kificho awatunishia msuli CCM

SPIKA wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho, amesema hataachia uongozi wa baraza hilo hadi itakapothibitika iwapo amekiuka sheria na kanuni za uendeshaji wa Baraza la Kutunga Sheria Zanzibar....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Magufuli awatunishia msuli makandarasi

WAZIRI wa Ujenzi, Dk. John Magufuli amewaambia makandarasi kwamba serikali itaendelea kusitisha mikataba yao pindi wanaposhindwa kufuata sheria za mikataba ya barabara wanayoingia. Akizungumza wakati wa kusaini mikataba na makandarasi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kificho asisimua makundi ya urais CCM

MZAHA wa Mwenyekiti wa muda wa Bunge Maalumu la Katiba, Pandu Ameir Kificho, kwa wajumbe wa Bunge hilo kuhusu kuwepo kikao cha makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wanaotajwa kuutaka...

 

11 years ago

Mwananchi

Wazee wa CCM wadai kupoteza imani na Kificho

Baraza la Wazee wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar, limesema limepoteza imani na Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Pandu Ameir Kificho kutokana na waraka aliouandika na kuwasilishwa kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba kwa niaba ya Baraza la Wawakilishi ukipendekeza Tanganyika na Zanizbar ziwe mamlaka huru za dola.

 

11 years ago

TheCitizen

House of Reps legislators from CCM disown Kificho statement

A controversy has ensued in Dodoma over what exactly were the proposals of the House of Representatives on the Union structure.

 

10 years ago

Mtanzania

Chadema watunisha msuli

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari.

Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika akisisitiza jambo wakati wa mkutano na waandishi wa habari.

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeendelea na msimamo wake wa kufanya maandamo na migomo isiyo na mwisho kwa nchi nzima na leo kinatarajia kutoa ratiba yake.

Hayo yalibainishwa jana na Ofisa Habari wa chama hicho, Tumaini Makene wakati akizungumza na MTANZANIA Jumapili pembezoni mwa mkutano wa vijana wa vyama vya siasa barani Afrika (DUA) uliokuwa ukifanyika katika Hoteli ya...

 

11 years ago

Habarileo

Wafanyabiashara waitunishia msuli TRA

MGOMO wa wafanyabiashara dhidi ya mashine za kielektroniki (EFDs) umetafsiriwa kuwa na ajenda ya siri kutokana na ushawishi unaodaiwa kufanyika nchi nzima huku katika maeneo mengine, ukiungwa mkono na wachuuzi wasiohusika na mashine hizo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Malinzi aitunishia msuli Bodi ya Ligi

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limesema kuwa Bodi ya Ligi haina mamlaka ya kupinga maamuzi yeyote ya kamati ya utendaji ya TFF, chombo pekee chenye uwezo wa kupinga maamuzi hayo...

 

10 years ago

Habarileo

Dk Mwakyembe atunishia msuli kamati ya Bunge

Dk Harison MwakyembeWAZIRI wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe ameitunishia misuli Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu baada ya kugoma kuwarejesha kazini watumishi 27 wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara) waliofanya mgomo kazini kinyume cha sheria.

 

10 years ago

Michuzi

MRISHO NGASSA ATUMISHA MSULI, AGOMA KUSAINI YANGA!


Mrisho Ngassa amegoma kusaini mkataba mpya na Yanga mpaka uongozi utakampomlipa deni lake la Sh45 milioni, akidai kwamba uongozi wa Yanga ulimuhadaa akope fedha zake benki ya CRDB ili ailipe Simba kwa kile walichomuadi kumlipia deni hilo. 

"Yanga wasipotoshe ukweli...wao waliniambia nikope fedha, watalipa. Matokeo yake wananikata mshahara wangu wote, nimegoma kusaini ndiyo! Mpaka wanilipe deni langu Sh45 milioni wakishanilipa nitakubali kukaa mezani tujadili mkataba mpya."alisema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani