Wavuvi wapiganiwa kutambuliwa kikatiba
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Issa Suleiman anayetokea Zanzibar kupitia kundi la wavuvi amesema kuwa anataka kundi hilo litambuliwe kikatiba. Akizungumza na Tanzania Daima Jumatano jana alisema kuwa kundi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili28 Oct
Wauaji wa Meyiwa kutambuliwa
10 years ago
BBCSwahili04 Nov
UNHCR yahamasisha wakimbizi kutambuliwa
11 years ago
Mwananchi31 Jan
Bandari bubu tatu kutambuliwa rasmi
10 years ago
Uhuru Newspaper09 Sep
Waliokufa, majeruhi ajali ya basi waanza kutambuliwa
NA LATIFA GANZEL, MOROGORO
MAITI mbili kati ya nne za ajali ya basi la kampuni ya Air Bus iliyotokea juzi wilayani Gairo, zimetambuliwa.
Basi hilo lilipata ajali likiwa safarini kutoka Dar es Salaam kwenda Tabora.
Aidha, majeruhi 30 wa ajali hiyo bado wamelazwa katika hospitali za Berega na ya rufani ya mkoa wa Morogoro, wakipatiwa matibabu.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Leonard Paul, alisema jana ofisini kwake mjini hapa kuwa waliotambuliwa ni Amina Rashid (50), mkulima na mkazi wa...
11 years ago
GPLWAGONJWA WASUBIRI KUTAMBULIWA NA NDUGU ZAO HOSPITALINI MUHIMBILI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Vl9kv5g9jpJoL83XJ1AqNJhR0UrzufXMjbtGycV*x35dvISydnJ*JMzUEBO3cIKV6b6vuuApRzjpPx4iBr1Clo9AYd2JikJ4/CBEPichana1.jpg?width=650)
CBE YAENDESHA UTAFITI KUWASAIDIA MACHINGA KUTAMBULIWA RASMI
10 years ago
StarTV01 Apr
Katiba inayopendekezwa, Wanaume Serengeti Mara wataka kutambuliwa
Na Ramadhan Mvungi,
Arusha.
Wanaume katika Vijiji vya Sing’isi, Isenye na Harara wilayani Serengeti mkoani Mara wamehoji sababu za kutokutambuliwa kwao katika Katiba inayopendekezwa kama ilivyo kwa makundi mengine yakiwemo ya watoto, wanawake na walemavu.
Mjadala umejitokeza wakati ambapo Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC imeteua taasisi mbalimbali zisizo za kiserikali kutoa elimu kwa wananchi kuhusu Katiba pendekezwa kabla ya zoezi la upigaji kura linalotarajiwa kufanyika Aprili 30 mwaka...
10 years ago
MichuziKAMPUNI ZINAZOWAJIBIKA KWA JAMII KUTAMBULIWA MACHI, 2015
Na Dotto Mwaibale
KAMPUNI mbali mbali zinazotoa huduma kwa jamii zinatarajiwa kutambuliwa na...
10 years ago
Tanzania Daima21 Oct
Wazee wadai kutengwa kikatiba
WAWAKILISHI wa Mashirika yanayotetea wazee nchini (TSPN), wameililia serikali na viongozi wa dini kwamba wametengwa kwa kuwa rasimu iliyopendekezwa haijawazungumzia. Hayo yanatokana na ongezeko la vifo vya wazee vitokanavyo na...