Kikwete: Uraia pacha ni suala la kikatiba
RAIS Jakaya Kikwete amewaambia Watanzania waishio nje ya nchi kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake, hawana pingamizi juu ya Watanzania hao kuwa na uraia wa nchi mbili, lakini akasema kwa kuwa suala hilo ni la Kikatiba, hana mamlaka yote ya kulihalalisha.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo05 Aug
Kikwete- Jengeni hoja uraia pacha
RAIS Jakaya Kikwete amewataka Watanzania waishio nje ya nchi na wanaotaka kuona Tanzania inakubali kuanzisha mfumo wa uraia pacha, kutumia muda wao kujenga hoja za jambo hilo badala ya kupoteza muda kwenye mijadala ya blogu na kulaumu watu wengine.
10 years ago
Dewji Blog14 Aug
Kikwete: Serikali haina mamlaka ya amri kuzungumzia uraia pacha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mkrisho Kikwete akiingia ukumbini wakati wa kongamano la Watanzania waishio Ughaibuni lililofanyika kwa mara ya kwanza nchini leo Jijini Dar es Salaam. Nyuma yake ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mizendo Pinda( mwenye koti la Bluu).
Na Joseph Ishengoma, MAELEZO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amesema hana mamlaka ya amri kuzungumzia uraia pacha kwasababu ni la katiba.
Rais Kikwete amesema...
10 years ago
Mtanzania25 Sep
Uraia pacha wakataliwa
![Bunge](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Bunge.jpg)
Bunge
Na mwandishi Wetu
RASIMU ya Katiba inayopendekezwa imezika rasmi suala la uraia pacha. Kwa muda mrefu sasa kumekuwa na mjadala kuhusu uraia pacha, huku Watanzania wanaoishi nje wakishinikiza kiwepo kipengele kwenye Katiba kinachoruhusu suala hilo.
Akiwasilisha rasimu hiyo jana, Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi wa Katiba, Andrew Chenge, alisema hakutakuwa na uraia pacha isipokuwa watu wenye asili ya Tanzania ambao hawana uraia watapewa hadhi maalumu.
“Kamati ya Uandishi ilifanya utafiti...
10 years ago
Habarileo30 Aug
Uraia pacha wabezwa
SUALA la uraia pacha limeonekana ‘kupigwa chini’ na serikali na wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba baada ya wote kukubaliana zaidi juu ya hasara za kuruhusu uraia huo, ikiwemo hofu ya usalama wa taifa na uzalendo kupungua.
10 years ago
Habarileo13 Aug
Uraia pacha pasua kichwa
SUALA la uraia wa nchi mbili, linaonekana kupasua vichwa vya wanakamati hasa wanaotoka Zanzibar, kutokana na historia ya nchi hiyo.
11 years ago
Michuzi09 Apr
hoja ya haja: ............ la Uraia Pacha
naomba pia uniruhusu kusema machache kuhusu mwanazuoni John Mashaka kwa sababu ametugusa kwa mamilioni. na hapana shaka wasomaji wote wa hii blog watakubaliana na mimi kuhusiana na...
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
Uraia pacha waota mbawa
MATUMAINI ya Watanzania waishio nje ya nchi kupata uraia pacha yameota mbawa baada ya serikali kuweka bayana kuna athari kubwa za kiusalama. Licha ya sababu hiyo ya serikali kutotaka liwemo...
10 years ago
Mwananchi31 Aug
Kizungumkuti cha uraia pacha
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-I7Hrm9hj-fQ/U09o3OwIXhI/AAAAAAAFbb4/VSK88jOZR0s/s72-c/IMG_5590.jpg)
ALUTA KONYINYUA - Uraia Pacha na Uzalendo
![](http://2.bp.blogspot.com/-I7Hrm9hj-fQ/U09o3OwIXhI/AAAAAAAFbb4/VSK88jOZR0s/s1600/IMG_5590.jpg)