Mgogoro wa uongozi wafukuta Arusha
MGOGORO wa uongozi mkoani Arusha umefikia hatua mbaya ambapo sasa ni wazi Mkurugenzi wa Jiji, Sipora Liana, hawezi kuiva chungu kimoja na Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Meya na Baraza la Madiwani. Mkuu wa Mkoa, Magesa Mulongo amegonga mwamba baada ya Liana kupuuza agizo lake alilotaka litekelezwe ndani ya siku sita.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper15 Jul
Mgogoro wafukuta Moravian
Wachungaji, waumini wafunga ofisi ya AskofuKazi zasimama kwa saa nne, Polisi waingilia kati
NA SOLOMON MWANSELE, MBEYA
MGOGORO unaoendelea kufukuta ndani ya Kanisa la Moraviani Tanzania, Jimbo la Kusini Magharibi, umechukua sura mpya baada ya wachungaji na waumini kufunga ofisi ya Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Alinikisa Cheyo, kwa makufuli na minyororo.
Hatua hiyo imefikiwa ikiwa ni shinikizo la kumtaka Askofu Cheyo, ajiuzulu wadhifa huo kutokana na madai ya kumfukuza kazi Mwenyekiti wa jimbo...
11 years ago
Mwananchi25 Mar
Mgogoro Kiwanda cha kahawa Moshi wafukuta
10 years ago
BBCSwahili01 Aug
Mgogoro wa uongozi wakumba Taleban
11 years ago
Tanzania Daima09 Jul
MGOGORO WA UONGOZI… Tanzania inahitaji fikra mbadala
UONGOZI kwa maana rahisi ni kuonyesha njia kufikia utashi wa maendeleo endelevu ya kijamii, kiuchumi na kisiasa katika kuhakikisha kwamba siasa inautumikia uchumi na kuleta manufaa kwa watu na nchi...
10 years ago
Habarileo27 Sep
Mgogoro wa zabuni Arusha watinga PPRA
SUALA la nani anastahili kupewa zabuni ya kukusanya mapato ya Halmashauri ya Jiji la Arusha limepelekwa kwenye Bodi ya Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi wa Umma (PPRA) ili itoe uamuzi.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Ywl1vVvvdSs/XqbOZGj1CCI/AAAAAAALoVU/XrZP9FXtCjchNrGYKQ0WYLZz_RceeO5PwCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200427-WA0075.jpg)
Waziri Bashungwa ahaidi kutatua mgogoro wa kiwanda cha Happy Sausages Arusha
Bashungwa, ametoa kauli hiyo leo alipofanya ziara ya kutembelea kiwanda hicho huku akiongoza na mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.
Akizungumza kiwandani hapo Bashungwa amesema...
11 years ago
Mwananchi27 Feb
Mvutano wa kikatiba wafukuta AFP
9 years ago
Habarileo17 Dec
Wanachama CCM wataka uongozi Arusha ufukuzwe
KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana anapaswa kuwaambia viongozi wote wa chama hicho Wilaya ya Arusha na Mkoa kujiuzulu mara moja.
10 years ago
Dewji Blog09 Aug
Uongozi wa CCM Arusha, Nangole na Kadogoo watimukia CHADEMA
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha, Onesmo Ole Nangole (kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo mara baada ya kuhamia rasmi chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kushoto ni Katibu Mwenezi wa CCM mkoa wa Arusha Isaac Joseph Maarufu kama Kadogoo. (Habari Picha na Pamela Mollel wa jamiiblog)
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Chama cha Mapinduzi kimeendelea kupoteza wanachama wake mara baada Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Arusha, Onesmo Nangole pamoja na Katibu Mwenezi wa Mkoa...