Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mgogoro wa uongozi wakumba Taleban

Msemaji wa baraza kuu la kundi la Taliban nchini Afghanistan ameimbia BBC kuwa hawakuombwa ushauri wakati wa uteuzi wa hivi majuzi wa kiongozi mpya kufuatia kifo cha mwanzilishi wake Mullar Omar.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mgogoro wa uongozi wafukuta Arusha

MGOGORO wa uongozi mkoani Arusha umefikia hatua mbaya ambapo sasa ni wazi Mkurugenzi wa Jiji, Sipora Liana, hawezi kuiva chungu kimoja na Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya, Meya na Baraza la Madiwani. Mkuu wa Mkoa, Magesa Mulongo amegonga mwamba baada ya Liana kupuuza agizo lake alilotaka litekelezwe ndani ya siku sita.

 

11 years ago

Tanzania Daima

MGOGORO WA UONGOZI… Tanzania inahitaji fikra mbadala

UONGOZI kwa maana rahisi ni kuonyesha njia kufikia utashi wa maendeleo endelevu ya kijamii, kiuchumi na kisiasa katika kuhakikisha kwamba siasa inautumikia uchumi na kuleta manufaa kwa watu na nchi...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mlipuko mkubwa wakumba Mogadishu

Mlipuko mkubwa umetokea katika mji wa Mogadishu nchini Somalia karibu na uwanja mkuu wa ndege.

 

10 years ago

BBCSwahili

Udanganyifu wa mechi wakumba soka Kenya

Uchunguzi uliofanywa umeelezea vile walaghai wa kimataifa huwahonga marefa,wachezaji na maafisa wa mashirikisho

 

10 years ago

BBCSwahili

Wapiganaji 10 wa Taleban wauawa na IS

Jeshi la Afghanistan limesema wanachama kumi wa kundi la Taliban wameuliwa na wapiganaji wa Islamic State walioko mashariki mwa nchi hiyo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Kundi la Taleban laondoka mazungumzoni

Wawakilishi wa Taleban wakasirishwa na hatua ya serikali ya Pakistan kuchelewesha mazungumzo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa kundi la Taleban amefariki

Habari kutoka kwa serikali ya Afghanistan zimeiambia BBC kuwa kinara mkuu wa kundi la wapiganaji wa Taliban, Mullah Omar amefariki.

 

11 years ago

Mwananchi

Ni vita ya Taleban, Mpira Pesa

>Vita kubwa imeibuka katika harakati za uchaguzi wa viongozi wa Simba, huku matawi ya Taleban na Mpira Pesa yakianza kuonyeshana ubavu kwa kunadi wagombea wanaowania urais, Michael Wambura na Evans Aveva.

 

11 years ago

BBCSwahili

Taleban lakiri kuwaua wanajeshi 20

Wanajeshi 20 wa serikali ya Afghanistan wameuawa mashariki mwa taifa hilo katika kisa kibaya zaidi dhidi ya vikosi vya usalama

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani