Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Abood awaondoa hofu wakazi wa CCT

Mbunge wa Morogoro Mjini (CCM), Abdulazizi Abood amewatoa hofu ya kubomolewa nyumba zao wakazi wa Mtaa wa CCT, Manispaa ya Morogoro baada ya nyumba 15 za mtaa huo kubomelewa kwa makosa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Sadifa awaondoa hofu CCM sifa za mgombea urais

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma SadifaWANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamehakikishiwa kuwa Kamati Kuu ya chama hicho itateua mgombea urais mwenye sifa zinazostahili na anayekubalika kwa wananchi na haitakata jina la mgombea bila sababu za msingi.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Kigamboni waondolewa hofu

WIZARA ya Ujenzi imewatoa hofu wananchi wanaotumia vivuko vya Magogoni na Kigamboni kuwa hitilafu iliyotokea juzi ya kukatika kwa mlango wa kivuko ni ya kiufundi. Akizungumza na Tanzania Daima, Ofisa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Babati na hofu magonjwa ya matumbo

HALI ya usafi katika maeneo kadhaa mjini Babati mkoani Manyara si ya kuridhisha kutokana na uchafuzi wa mazingira unaofanywa na baadhi ya wakazi wake. Wakazi hawa hutupa takataka ovyo kwenye...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Missenyi na hofu ya mradi mpya wa maji

“NASHANGAA kitendo kilichofanywa na Halmashauri ya Missenyi  kuingilia  kati mradi  wa maji  wa wananchi ulioanza  miaka 42 iliyopita.” Hivyo ndivyo anavyosema Patricia Edward ambaye ni miongoni mwa wakazi wa  Kata...

 

11 years ago

GPL

MVUA ZAANZA KUWAPA HOFU WAKAZI WA JIJI

Taswira za maji yakipita kwa kasi katika mto unaopita chini ya daraja la Ubungo, Dar. KAMERA yetu ilishuhudia mto unaopitisha maji chini ya daraja la Ubungo, ukiwa umejaa kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar, hali inayowapa hofu wakazi wanaoishi karibu na mkondo huo wa maji. (Picha: Deogratius Mongela /… ...

 

10 years ago

GPL

PANYA ROAD WALIVYOTIA HOFU WAKAZI DAR

Polisi wa Kanda Maalum ya Polisi ya Dar es Salaam, CP Suleiman Kova. Jana usiku Jiji la Dar es Salaam wakazi wake walijawa na  taharuki, hofu na wasiwasi mkubwa kwa saa mbili baada ya kundi maarufu la waporaji lililojulikana kama  Panya Road, kudaiwa kuvamia mitaa mbalimbali na kupora mali. Taarifa zilizoenezwa na watu wasiojulikana zilidai kuwa  kundi hilo lilikuwa linapora watu katika baadhi ya maeneo ya jiji hilo...

 

9 years ago

StarTV

Baadhi ya wakazi Kigoma waingiwa na hofu ongezeko la maambukizi ya VVU.

Licha ya maambukizi ya ugonjwa wa ukimwi kitaifa kuelezwa kudhibitiwa, hofu imetanda kwa   baadhi ya wakazi wa mkoa wa Kigoma baada ya kutolewa kwa takwimu za ongezeko la maambukizi ya ugonjwa huo mkoni humo hivi karibuni.

Kitaifa maambukizi ya Virusi vya ukimwi yanaelezwa kupungua kutoka asilimia 7.5 hadi asilimia 5.1 wakati mkoani Kigoma ongezeko limekuwa kutoka asilimia 1.8 kwenda asilimia 3.5 hatua inayowafanya wadau mbalimbali na serikali kuanza kujipanga kimkakati kupunguza...

 

11 years ago

Michuzi

HOFU YA KUTOKEA MAFURIKO,WAKAZI WA KATA YA MABOGINI-KILIMANJARO WAITANA MSARAGAMBO KUZIBA MAPITIO YA MAJI

Wakazi wa Kitongoji cha Bogini wakiwa wamejitikeza kwenye Msaragambo kwa ajili ya kuchimba na kufukia kwa vifusi maeneo ambayo ni mapitio ya maji kwenda kwenye makazi ya watu. Wakazi wa kata ya Mabogini wakiwa katika Msaragambo. Shughuli ya kuziba maeneo korofi iliendelea. Hata wale wasio na vitendea kazi walilazimika kutumia mikono kufanya shughuli hiyo. Sehemu ya barabara ikizibwa na mabaki ya mmatofari ya kuchoma.   Shughuli ya kuziba maeneo hayo ikiwa imekamilika .

 

10 years ago

Habarileo

CCT yaombwa kutatua mgogoro Moravian

UONGOZI wa Kanisa la Moravian Jimbo la Kusini Magharibi umeamua kukutana na Kamati Teule ya Usuluhishi wa Migogoro ya Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT) kuomba iingilie kati kufanya usuluhishi wa mgogoro unaoendelea kukabili kanisa hilo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani