Gabagambi adai BRN inavurugwa sekta ya kilimo
Mmoja kati ya wataalamu walioandaa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Dk Damian Gabagambi amesema utekelezaji wa mpango huo katika sekta ya kilimo ni tofauti na makubaliano waliyoafikiana.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziWAZIRI WA KILIMO NA WAZIRI WA VIWANDA WAONGOZA KIKAO KAZI KUJADILI UFUNGAMANISHAJI SEKTA YA KILIMO NA MIKAKATI YA KUTAFUTA MASOKO
10 years ago
Habarileo11 Mar
Sekta za ardhi, rushwa zaongezwa BRN
OFISI ya Rais Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (PDB), inayosimamia Mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), imeongeza sekta za kipaumbele zinazoratibiwa na mfumo huo kutoka sita hadi kufikia 13 na safari hii sekta ya ardhi , kodi na mapambano ya rushwa zimeingizwa.
11 years ago
Habarileo06 Apr
BRN yampongeza Bill Gates kusaidia kilimo
NAIBU Mtendaji Mkuu anayeshughulikia Kilimo katika Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Peniel Lyimo ameipongeza taasisi ya Bill and Melinda Gates kwa kusaidia maboresho ya sekta ya kilimo nchini.
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Sekta zinazotekeleza BRN zakusanya bil. 215/-
SEKTA zinazotekeleza mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) zimefanikiwa kukusanya sh bilioni 215 zilizoibuliwa kutoka kwenye maabara za BRN. Kiongozi wa mfumo huo katika Wizara ya Fedha, Emmanuel Tutuba, alibainisha...
10 years ago
Vijimambo23 Jan
Mpango wa BRN Sekta ya Elimu Unamapungufu - HakiElimu
![Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto na kulia ni maofisa wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika mkutano huo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/01/IMG_0030.jpg)
![Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto na kulia ni maofisa wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika mkutano huo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/01/IMG_00361.jpg)
![Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto na kulia ni maofisa wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika mkutano huo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/01/IMG_0038.jpg)
10 years ago
Michuzi13 Nov
Ubunifu wa BRN wavutia wawekezaji sekta binafsi
Mkutano wa kwanza wa aina yake ulioandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) umefanikiwa kuwakutanisha mahali pamoja wawekezaji wakubwa kutoka mataifa mbalimbali ili kujionea fursa za uwekezaji katika miradi mbalimbali iliyopewa kipaumbele katika Mpango huo.BRN ni Mpango ulioanzishwa na Serikali ya Tanzania tangu Julai mosi, 2013 kwa lengo la kuchagua sekta chache za kipaumbele na kuweka mfumo madhubuti unaoweka malengo na muda wa utekelezaji wa kila mradi huku mawaziri husika wakiwa...
10 years ago
Dewji Blog22 Jan
Mpango wa BRN Sekta ya Elimu Unamapungufu — HakiElimu
Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto na kulia ni maofisa wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika mkutano huo.
![Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto na kulia ni maofisa wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika mkutano huo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/01/IMG_00361.jpg)
Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto na kulia ni maofisa wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika mkutano huo.
![Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto na kulia ni maofisa wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika mkutano huo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/01/IMG_0038.jpg)
Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-n6JgdH6DRLk/VTZXcCzFA-I/AAAAAAAHSPU/-vhNT2ZlqAM/s72-c/unnamed%2B(78).jpg)
MAABARA YA BRN KUCHAMBUA CHANGAMOTO YA MASOKO KATIKA KILIMO
![](http://2.bp.blogspot.com/-n6JgdH6DRLk/VTZXcCzFA-I/AAAAAAAHSPU/-vhNT2ZlqAM/s1600/unnamed%2B(78).jpg)
Akifungua maabara hiyo jijini Dar es Salaam, Jumatatu, Mtendaji Mkuu wa PDB, Bw. Omari Issa amewataka wadau...
10 years ago
MichuziNAIBU MTENDAJI MKUU BRN AELEZA MIKAKATI YA KUBORESHA KILIMO