Sekta za ardhi, rushwa zaongezwa BRN
OFISI ya Rais Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (PDB), inayosimamia Mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), imeongeza sekta za kipaumbele zinazoratibiwa na mfumo huo kutoka sita hadi kufikia 13 na safari hii sekta ya ardhi , kodi na mapambano ya rushwa zimeingizwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi13 Nov
Ubunifu wa BRN wavutia wawekezaji sekta binafsi
Mkutano wa kwanza wa aina yake ulioandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) umefanikiwa kuwakutanisha mahali pamoja wawekezaji wakubwa kutoka mataifa mbalimbali ili kujionea fursa za uwekezaji katika miradi mbalimbali iliyopewa kipaumbele katika Mpango huo.BRN ni Mpango ulioanzishwa na Serikali ya Tanzania tangu Julai mosi, 2013 kwa lengo la kuchagua sekta chache za kipaumbele na kuweka mfumo madhubuti unaoweka malengo na muda wa utekelezaji wa kila mradi huku mawaziri husika wakiwa...
10 years ago
Dewji Blog22 Jan
Mpango wa BRN Sekta ya Elimu Unamapungufu — HakiElimu
Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto na kulia ni maofisa wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika mkutano huo.
Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam. Wengine kushoto na kulia ni maofisa wa taasisi ya HakiElimu wakiwa katika mkutano huo.
Kaimu Mkurugenzi wa HakiElimu, Godfrey Boniventura (katikati) akizungumza...
11 years ago
Mwananchi24 Jul
Gabagambi adai BRN inavurugwa sekta ya kilimo
10 years ago
Vijimambo23 Jan
Mpango wa BRN Sekta ya Elimu Unamapungufu - HakiElimu
11 years ago
Tanzania Daima15 Mar
Sekta zinazotekeleza BRN zakusanya bil. 215/-
SEKTA zinazotekeleza mfumo wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) zimefanikiwa kukusanya sh bilioni 215 zilizoibuliwa kutoka kwenye maabara za BRN. Kiongozi wa mfumo huo katika Wizara ya Fedha, Emmanuel Tutuba, alibainisha...
10 years ago
MichuziKuingia kwa sekta ya afya katika BRN kunaleta matumaini mapya
11 years ago
Mwananchi07 Jan
Makundi ya rushwa katika sekta ya elimu
10 years ago
Tanzania Daima07 Oct
Lowassa akemea rushwa kwenye ardhi
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa, (CCM), amekemea tabia ya baadhi ya viongozi wa serikali na mila wanaochukua rushwa na kuuza ardhi za wananchi wakiwemo wajane kinyume cha utaratibu. Aidha, ameitaka...
10 years ago
Mwananchi31 Jan
Rushwa, ukosefu wa maadili vinachangia migogoro ya ardhi