Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAABARA YA BRN KUCHAMBUA CHANGAMOTO YA MASOKO KATIKA KILIMO

Ofisi ya Rais-Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), imealika wataalamu wa kilimo ili kuchambua na kutoa mapendekezo juu ya namna bora nchi inavyoweza kutatua changamoto ya masoko kwa wakulima. Ili kufikia lengo hilo, maabara ndogo ya siku tano imeandaliwa ili kutathmini mifumo ya sasa ya masoko kwa mazao ya mahindi na mpunga.  
Akifungua maabara hiyo jijini Dar es Salaam, Jumatatu, Mtendaji Mkuu wa PDB, Bw. Omari Issa amewataka wadau...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAKAZI WA TABORA WAKIRI WAZI KUWA MASOKO NDIO CHANGAMOTO YAO KUBWA KATIKA SHUGHULI ZAO ZA UJASILIAMALI

SEMINA ya Kamata Fursa Jitathimini,Jiamini,Jiongeze inayoendeshwa sambamba na burudani za Fiesta 2014, jana imeendelea kwa kuwapatia dira ya maisha na namna ya kuwafanya wajikwamue kwenye shughuli mbalimbali za kiuchumi wakazi wa Mkoa wa Tabora mjini ndani ya ukumbi wa chuo cha TEKU,kilichopo katikati ya mji wa Tabora.Semina hiyo ambayo imeongozwa na Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba (pichani juu) ilikuwa ya aina yake, kwani baadhi ya vitu na...

 

10 years ago

GPL

WAKAZI WA TABORA WAKIRI WAZI KUWA MASOKO NDIO CHANGAMOTO YAO KUBWA KATIKA SHUGHULI ZAO ZA UJASILIAMALI‏

Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba (pichani juu) ilikuwa ni aina yake, kwani baadhi ya mbinu alizowapatia wakazi wa Mkoa wa Tabora,wengi wao wameonesha kuvutiwa nayo kutokana na mafunzo,maelekezo na mbinu mbalimbali za kupambana na changamoto zinazowakabili/zitakazowakabili katika miradi yao mbalimbali wanayotarajia kuianzisha ama wamekwishaianzisha.… ...

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA KILIMO NA WAZIRI WA VIWANDA WAONGOZA KIKAO KAZI KUJADILI UFUNGAMANISHAJI SEKTA YA KILIMO NA MIKAKATI YA KUTAFUTA MASOKO

Waziri wa Viwanda na Bishara Mhe Innocent Nashungwa (Kulia) akisisitiza jambo wakati wa kikao kazi cha kujadili namna ya kufungamanisha uchumi wa Kilimo na Viwanda Jijini Dodoma, leo tarehe 1 Aprili 2020.Mshauri wa masuala ya Maendeleo ya Viwanda vya Kilimo wa Taasisi ya kuendeleza Kilimo Afrika (AGRA) Ndg Peniel Lyimo akichangia mada wakati wa kikao kazi kilichoongozwa na Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Innocent Bashungwa cha kujadili namna...

 

10 years ago

Michuzi

MAWAZIRI, WABIA WA MAENDELEO WATEMBELEA MAABARA YA AFYA BRN

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dkt. Seif Rashid (kushoto) akijadiliana jambo na Mtendaji Mkuu kutoka Ofisi ya Rais-Ufuatiliaji wa Utekeleza wa Miradi (PDB) inayoratibu Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Bw. Omari Issa (wa pili kulia) mara baada ya kuhudhuria hivi karibuni maabara inayochambua miradi ya afya itakayoingia katika BRN. Katikati ni Naibu Waziri wa Afya wa Zanzibar, Bw. Mahmoud Thabit Kombo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar, Dkt, Mohammed Saleh Jidawi...

 

10 years ago

Michuzi

MTENDAJI MKUU BRN ATOA CHANGAMOTO

Ushirikishaji wa wananchi nguzo ya kutekeleza BRN
TAASISI za Serikali zinazohusika katika utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) zimetakiwa kuhakikisha kuwa wananchi wanaelezwa mafanikio na changamoto za utekelezaji wa Mpango huo.
Wito huo umetolewa jijini Dar es Salaam leo Jumatano na Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia utekelezaji wa BRN, Bw. Omari Issa alipokuwa akifungua Mkutano wa Kwanza wa Watendaji wa Serikali Kutathmini...

 

5 years ago

Press

Benki ya Kilimo yajidhatiti kusaidia upatikanaji wa Masoko nchini

IMG_1379

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Thomas Samkyi (Kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Biashara na Mikopo Bw. Robert Pascal wakifuatilia mada wakati wa Warsha ya Kitaifa ya Wadau ya Sekta ya Kilimo inayofanyika katika Hoteli ya Blue Pearl, jijini Dar es Salaam.

Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imedhamiria kusaidia upatikanaji wa Masoko ili kuongeza Mapinduzi yenye tija katika Sekta ya Kilimo nchini ili kuchagiza na kusaidia kuwezesha Sekta ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

BRN yaipa changamoto sera ya ugatuaji madaraka

DSC_0734

Profesa Fortunata Makene wa idara ya tafiti za mikakati na machapisho wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), akifungua warsha hiyo ya siku moja iliyowakutanisha wataalamu kujadili matokeo ya utafiti wa ufanisi wa mfumo wa ugatuaji madaraka ambapo mamlaka yanapelekwa kwa wananchi (Efficiency and Effectiveness of Decentralization and Local Government Capital Development Grant LGCDC systems in Tanzania).(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog)

Na Mwandishi wetu,

HATUA za...

 

11 years ago

Habarileo

BRN yampongeza Bill Gates kusaidia kilimo

NAIBU Mtendaji Mkuu anayeshughulikia Kilimo katika Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Peniel Lyimo ameipongeza taasisi ya Bill and Melinda Gates kwa kusaidia maboresho ya sekta ya kilimo nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani