BRN yaipa changamoto sera ya ugatuaji madaraka
Profesa Fortunata Makene wa idara ya tafiti za mikakati na machapisho wa Taasisi Huru ya Utafiti wa Uchumi na Jamii (ESRF), akifungua warsha hiyo ya siku moja iliyowakutanisha wataalamu kujadili matokeo ya utafiti wa ufanisi wa mfumo wa ugatuaji madaraka ambapo mamlaka yanapelekwa kwa wananchi (Efficiency and Effectiveness of Decentralization and Local Government Capital Development Grant LGCDC systems in Tanzania).(Picha zote na Zainul Mzige wa Modewjiblog)
Na Mwandishi wetu,
HATUA za...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi20 Aug
MTENDAJI MKUU BRN ATOA CHANGAMOTO
TAASISI za Serikali zinazohusika katika utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN) zimetakiwa kuhakikisha kuwa wananchi wanaelezwa mafanikio na changamoto za utekelezaji wa Mpango huo.
Wito huo umetolewa jijini Dar es Salaam leo Jumatano na Mtendaji Mkuu wa Ofisi ya Rais-Usimamizi wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia utekelezaji wa BRN, Bw. Omari Issa alipokuwa akifungua Mkutano wa Kwanza wa Watendaji wa Serikali Kutathmini...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-n6JgdH6DRLk/VTZXcCzFA-I/AAAAAAAHSPU/-vhNT2ZlqAM/s72-c/unnamed%2B(78).jpg)
MAABARA YA BRN KUCHAMBUA CHANGAMOTO YA MASOKO KATIKA KILIMO
![](http://2.bp.blogspot.com/-n6JgdH6DRLk/VTZXcCzFA-I/AAAAAAAHSPU/-vhNT2ZlqAM/s1600/unnamed%2B(78).jpg)
Akifungua maabara hiyo jijini Dar es Salaam, Jumatatu, Mtendaji Mkuu wa PDB, Bw. Omari Issa amewataka wadau...
11 years ago
Habarileo15 Dec
ALAT kuunga mkono mgombea Urais anayejali ugatuaji
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Tawala za Mikoa Tanzania (ALAT), Dk Didas Masaburi amesema kuwa jumuiya hiyo itamuunga mkono Rais ambaye atahakikisha anagatua madaraka kwenda ngazi za chini pamoja na kusimamia sheria zake.
11 years ago
Mwananchi23 Mar
Changamoto kwa Wafanyabiashara wadogo wapewa changamoto
10 years ago
Vijimambo28 May
CAF yaipa TZ uenyeji U-17.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Malinzi-28May2015.jpg)
Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF), limetimiza ndoto za Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi, za kuwa mwenyeji wa michuano mikubwa baada ya juzi kuipa Tanzania uenyeji wa fainali za michuano ya Afrika kwa vijana wenye umri chini ya miaka 17 mwaka 2019.
Katika michuano hiyo, Tanzania itashiriki michuano hiyo bila kupita katika hatua ya mchujo kutokana na faida ya uenyeji, ambao pia utatoa fursa ya kuomba kuandaa...
11 years ago
Tanzania Daima08 Aug
Sweden yaipa Zanzibar bil.11/-
SERIKALI ya Sweden imetiliana saini mkataba wa sh. bilioni 11na Serikali ya Zanzibar kwa ajili ya kuisaidia miradi ya maendeleo ikiwemo nishati. Mkataba huo ulisainiwa na Katibu mkuu wa Wizara...
11 years ago
Mwananchi06 May
EU yaipa Tanzania Sh1.4 trilioni
11 years ago
Mwananchi13 Mar
WB yaipa somo la gesi Tanzania
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/7F975s5rOKhU*iY06q-rSZ*wo2eDJ2IxcCdbJEks3gXkEPXxzTZOSvlebrwMNvJwZLLlH1wJEKEcLHC7glEB3YgsinMmkchP/11111yqnga.jpg?width=650)
Yanga yaipa masharti 5 TFF