Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


EU yaipa Tanzania Sh1.4 trilioni

Umoja wa Ulaya (EU), utaipatia Tanzania msaada wa Euro 626 milioni sawa na Sh1.4 trilioni kwa ajili ya kuboresha miradi ya maendeleo na utawala bora katika kipindi cha miaka sita.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tanzania kupoteza Sh1.6 trilioni za gesi

>Wakati Tanzania inaelezwa itapoteza zaidi ya Sh1.6 trilioni kila mwaka kwa mujibu wa mkataba unaoonyesha mgawanyo wa mapato yatokanayo na gesi asilia (PSA), Serikali imeutetea ikisema unalinufaisha Taifa.

 

9 years ago

Mwananchi

Miss Tanzania atajwa ufisadi wa Sh1.3 trilioni

Aliyekuwa ofisa mwandamizi wa benki ya Stanbic tawi la Tanzania, Shose Sinare amehusishwa na mipango ya kifisadi ambayo imeisababishia Serikali ya Tanzania hasara ya Sh1.3 trilioni kati ya mwaka 2012 na 2013.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwigulu: Sh1.6 trilioni mishahara hewa

Mamilioni ya fedha za umma yanatumika kwenye matamasha ya wizara, badala ya kupelekwa vijijini kuendeleza miradi ya maji.

 

11 years ago

Mwananchi

Facebook kununua WhatsApp kwa Sh1.36 trilioni

Kampuni ya Mtandao wa Jamii ya Facebook imesema itanunua mtandao wa mawasiliano wa ujumbe mfupi wa WhatsApp kwa Dola 19 bilioni za Marekani (Sh1.36 trilioni), ili kuimarisha umaarufu wake hasa miongoni mwa vijana.

 

10 years ago

Mwananchi

Sh1.5/- trilioni zahitajika ukarabati wa reli ya kati

Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli (Rahaco), imesema kiasi cha Sh1.5 trilioni kinahitajika kukarabati reli ya kati ili iweze kurudi katika hali yake ya kawaida.

 

11 years ago

Mwananchi

Bahati nasibu yaingiza Sh1.5 trilioni kwenye mzunguko wa fedha nchini

 Shilingi 1.5 trilioni zimeingia kwenye mzunguko wa fedha kupitia michezo ya kubahatisha mwaka jana, ili kusaidia ukuaji uchumi, kuchangia pato la taifa na kutoa ajira kwa zaidi ya watu 3,000.

 

9 years ago

Mwananchi

Benki ya Walimu yachangia ongezeko la mauzo ya hisa DSE kufikia Sh1 trilioni

Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) limeongeza mauzo kutoka Sh383 bilioni mwaka 2014 hadi Sh1 trilioni moja kwa mwaka jana, huku Benki ya Walimu ikichangia ongezeko hilo.

 

10 years ago

Vijimambo

Bajeti ya mwaka 2015/16 ni ya kula. Ni Shilingi trilioni 22.5, Za maendeleo trilioni 5 tu.

Waziri wa Fedha, Saada Salum Mkuya
Serikali imetangaza sura ya bajeti ya mwaka 2015/16, ikiwa imejielekeza zaidi katika matumizi ya kawaida ya safari, posho za viongozi na matumizi mengine kuliko miradi ya maendeleo inayogusa maisha ya Watanzani moja kwa moja.

Bajeti ya mwaka ujao inatarajiwa kuwa Sh. Trilioni 22.480, kwa matumizi ya kawaida na maendeleo.

Makadirio hayo ni ongezeko la asilimia 13.2 ya bajeti ya mwaka 2014/15 ambayo ilikuwa ni Sh. Trilioni 19.853.

Waziri wa Fedha, Saada Salum...

 

11 years ago

Mwananchi

WB yaipa somo la gesi Tanzania

Benki ya Dunia imetoa somo la gesi kwa Watanzania kwa kuwataka kuzalisha rasilimali hiyo kwa viwango vya kimataifa huku kampuni zitakazoisambaza zukishauriwa kuwa na uwezo wa kutosha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani