Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bahati nasibu yaingiza Sh1.5 trilioni kwenye mzunguko wa fedha nchini

 Shilingi 1.5 trilioni zimeingia kwenye mzunguko wa fedha kupitia michezo ya kubahatisha mwaka jana, ili kusaidia ukuaji uchumi, kuchangia pato la taifa na kutoa ajira kwa zaidi ya watu 3,000.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA MICHEZO YA BAHATI NASIBU YA GIDANI INTERNATIONAL YAJIZATITI KUINGIA NCHINI

Mkurugenzi Mkuu wa michezo ya Bodi ya michezo ya kubahatisha nchini Tarimba Abbasi Tarimba (kushoto) akiteta jambo na Mwenyekiti wa michezo ya kubahatisha ya Gidan International Profesa  Bongani Aug Khumalo wakati wa utoaji wa elimu kwa wananchi waliofika kwenye banda hilo lililopo kwenye  maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam juu ya michezo ya kubahatisha itakayozinduliwa baadaye mwaka huu.Mkurugenzi Mkuu wa michezo ya Bodi ya michezo ya kubahatisha nchini Tarimba Abbasi...

 

10 years ago

Mwananchi

Mashine 763 za bahati nasibu zilizokamatwa zaharibiwa

Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania imeharibu mashine 763 za michezo ya bahati nasibu ambazo hutumika katika kasino mbalimbali nchini.

 

9 years ago

Global Publishers

Dar waendelea kuchangamkia bahati nasibu ya Shinda Nyumba

1.Muuzaji wa magazeti ya Global Publishers (katikati) akiwa na msomaji wa gazeti la Uwazi eneo la Tandale sokoni akimwelekeza kujaza kuponi ili kuweza kushriki Bahari Nasibu hiyo.Muuzaji wa magazeti ya Global Publishers (katikati) akiwa na msomaji wa Gazeti la Uwazi eneo la Tandale Sokoni huku akimwelekeza jinsi ya kujaza kuponi ili kushiriki bahati nasibu hiyo.

2.Msomaji wa Gazeti la Uwazi akishiriki kuweka kuponi yake baada ya kumaliza taratibu za kujaza kuponi iliyo katika gazeti hilo.Msomaji wa Gazeti la Uwazi akiweka kuponi yake baada ya kumaliza kuijaza.

3.Baadhi ya wakazi wa Tandale sokoni wakishudia msomaji wa Gazeti la Uwazi alivyokuwa akijaza kuponi ili kushiriki Bahati Nasibu.Baadhi ya wakazi wa Tandale Sokoni wakishuhudia msomaji wa Gazeti la Uwazi alivyokuwa akijaza kuponi ili kushiriki bahati nasibu.

4.Ofisa Usambazaji wa Global Publishers, Yohana Mkanda (wapili kushoto) akimwelekeza msomaji wa Gazeti la Uwazi namna ya kujaza kuponi mara baada ya kununua gazeti kwa muuzaji.

Ofisa Usambazaji wa Global Publishers, Yohana Mkanda (wa pili kushoto) akimwelekeza msomaji wa Gazeti...

 

10 years ago

Vijimambo

Sadolin Yakabidhi Gari Kwa Mshindi wa Bahati Nasibu

Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Sadolin, Flora Mapunda (kushoto) akimkabidhi funguo ya gari aliloshinda, Bi. Monica Benedict Haule mfanyabiashara ndogondogo za uuzaji wa nguo mkazi wa Temeke jijini Dar es Salaam. Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Sadolin, Flora Mapunda (kushoto) akimkabidhi funguo ya gari aliloshinda, Bi. Monica Benedict Haule mfanyabiashara ndogondogo za uuzaji wa nguo mkazi wa Temeke jijini Dar es Salaam.Mshindi wa gari aina ya TATA Pic-UP, Bi. Monica Benedict Haule (kulia) akifungua mlango kuingia katika gari aliloshinda mara baada ya kukabidhiwa. Pembeni yake ni Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Sadolin, Flora Mapunda. Mshindi wa gari aina ya TATA Pic-UP, Bi. Monica Benedict Haule (kulia) akifungua mlango kuingia katika gari aliloshinda mara baada ya kukabidhiwa. Pembeni yake ni Ofisa Mauzo wa Kampuni ya Sadolin, Flora MapundaMshindi wa gari aina ya TATA Pic-UP, Bi. Monica Benedict Haule akiwa ndani ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

Paul Makonda azindua Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba kutoka Global

Shinda Nyumba na Global (11)

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati) akizindua Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba inayoendeshwa na Kampuni ya Global Publishers Ltd. Kulia ni Meneja Mkuu wa Global Publishers Ltd, Abdallah Mrisho na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Eric James Shigongo.

Shinda Nyumba na Global (12)

Shinda Nyumba na Global (13)

Paul Makonda akigawa vipeperushi vyenye nyumba na zawadi nyingine zinazoshindaniwa kwa wanahabari.

Shinda Nyumba na Global (1)

Shinda Nyumba na Global (2)

Meneja Mkuu wa Global Publishers Ltd, Abdallah Mrisho akiwakaribisha wanahabari na Mkuu wa Wilaya ya...

 

11 years ago

Mwananchi

EU yaipa Tanzania Sh1.4 trilioni

Umoja wa Ulaya (EU), utaipatia Tanzania msaada wa Euro 626 milioni sawa na Sh1.4 trilioni kwa ajili ya kuboresha miradi ya maendeleo na utawala bora katika kipindi cha miaka sita.

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI HASUNGA ABAINISHA TAARIFA YA UZALISHAJI WA KOROSHO, SERIKALI YAINGIZA ZAIDI YA TRILIONI 3.3

Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akisisitiza jambo wakati akitoa taarifa ya miaka minne ya uzalishaji wa zao la Korosho nchini ambapo amebainisha kuwa uzalishaji umeongezeka maradufu. (Picha Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)
Na Mathias Canal, Wizara ya KilimoWAZIRI wa Kilimo, Japhet Hasunga (Mb) ametoa taarifa ya uzalishaji wa zao la Korosho katika kipindi cha miaka minne ya serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Mhe Rais Dkt John Pombe Magufuli ambapo amebainisha kuwa uzalishaji...

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania kupoteza Sh1.6 trilioni za gesi

>Wakati Tanzania inaelezwa itapoteza zaidi ya Sh1.6 trilioni kila mwaka kwa mujibu wa mkataba unaoonyesha mgawanyo wa mapato yatokanayo na gesi asilia (PSA), Serikali imeutetea ikisema unalinufaisha Taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Mwigulu: Sh1.6 trilioni mishahara hewa

Mamilioni ya fedha za umma yanatumika kwenye matamasha ya wizara, badala ya kupelekwa vijijini kuendeleza miradi ya maji.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani