Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Paul Makonda azindua Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba kutoka Global

Shinda Nyumba na Global (11)

Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (katikati) akizindua Bahati Nasibu ya Shinda Nyumba inayoendeshwa na Kampuni ya Global Publishers Ltd. Kulia ni Meneja Mkuu wa Global Publishers Ltd, Abdallah Mrisho na kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Eric James Shigongo.

Shinda Nyumba na Global (12)

Shinda Nyumba na Global (13)

Paul Makonda akigawa vipeperushi vyenye nyumba na zawadi nyingine zinazoshindaniwa kwa wanahabari.

Shinda Nyumba na Global (1)

Shinda Nyumba na Global (2)

Meneja Mkuu wa Global Publishers Ltd, Abdallah Mrisho akiwakaribisha wanahabari na Mkuu wa Wilaya ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Global Publishers

Dar waendelea kuchangamkia bahati nasibu ya Shinda Nyumba

1.Muuzaji wa magazeti ya Global Publishers (katikati) akiwa na msomaji wa gazeti la Uwazi eneo la Tandale sokoni akimwelekeza kujaza kuponi ili kuweza kushriki Bahari Nasibu hiyo.Muuzaji wa magazeti ya Global Publishers (katikati) akiwa na msomaji wa Gazeti la Uwazi eneo la Tandale Sokoni huku akimwelekeza jinsi ya kujaza kuponi ili kushiriki bahati nasibu hiyo.

2.Msomaji wa Gazeti la Uwazi akishiriki kuweka kuponi yake baada ya kumaliza taratibu za kujaza kuponi iliyo katika gazeti hilo.Msomaji wa Gazeti la Uwazi akiweka kuponi yake baada ya kumaliza kuijaza.

3.Baadhi ya wakazi wa Tandale sokoni wakishudia msomaji wa Gazeti la Uwazi alivyokuwa akijaza kuponi ili kushiriki Bahati Nasibu.Baadhi ya wakazi wa Tandale Sokoni wakishuhudia msomaji wa Gazeti la Uwazi alivyokuwa akijaza kuponi ili kushiriki bahati nasibu.

4.Ofisa Usambazaji wa Global Publishers, Yohana Mkanda (wapili kushoto) akimwelekeza msomaji wa Gazeti la Uwazi namna ya kujaza kuponi mara baada ya kununua gazeti kwa muuzaji.

Ofisa Usambazaji wa Global Publishers, Yohana Mkanda (wa pili kushoto) akimwelekeza msomaji wa Gazeti...

 

9 years ago

Global Publishers

11 years ago

GPL

PAUL MAKONDA WA UVCCM ATEMBELEA GLOBAL

Luqman Maloto mmoja wa wahariri wa Global akimkaribisha Bw. Makonda. Bw. Makonda akifafanua jambo mbele ya wanahabari wa Global (hawapo pichani).…

 

9 years ago

Dewji Blog

Shinda Nyumba ya Global kuzinduliwa wiki iyayo jijini Dar

file-page2

Bango la Shinda Nyumba ya Global Publishers (katikati) likiwa eneo la Karume Jijini Dar.

file-page4

Bango likiwa eneo la Ubungo.

file-page6

Bango likiwa eneo la Tegeta.

BAADA ya kujihusisha na misaada mbalimbali ya kijamii na kiutu, Kampuni ya Global Publishers Ltd, wachapishaji wa magazeti pendwa na lile bora la michezo nchini Tanzania, imekuwa ya kwanza ya habari kutoa zawadi ya nyumba kwa wasomaji wake katika promosheni inayotarajiwa kuanza Desemba 11, 2015.

Kumbukumbu zinaonesha kwamba, michezo ya...

 

9 years ago

Dewji Blog

DC Paul Makonda azindua umoja wa watengenezaji keki nchini (TCBA)

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (wa pili kulia) na Mdau wa Keki, Mama Cythia Henjewele (wa pili kushoto), wakikata keki maalumu wakati wa hafla ya uzinduzi wa Umoja wa Watengeneza keki Tanzania (Tanzania Cake Bakers Association -TCBA), uliofanyika katika Mgahawa wa City Lounge Posta mpya Dar es Salaam jana. Kulia ni Mshehereshaji, Makena na Mdau wa Keki, Philip Mbonde.

 Mwanzilishi wa umoja huo, Stellah Rwabutaza (kushoto), akimlisha keki mgeni rasmi DC Makonda. Katikati ni mdau...

 

10 years ago

GPL

PAUL MAKONDA AZINDUA IBADA YA MAKUNDI MAALUMU KATIKA KANISA LA KILUTHERI USHARIKA WA KIGOGO DAR

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akizungumza na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kigogo na vijana waliopo katika kundi maalumu kutokana na kuathiriwa na matumizi ya dawa za kulevya wakati akizindua ibada ya makundi maalumu iliyoanzishwa katika kanisa hilo Dar es Salaam jana.  Msaidizi mstaafu wa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), George Fute...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA KINONDONI PAUL MAKONDA AZINDUA MAONESHO YA 5 YA KAMPUNI YA EAG GROUP LEO JIJINI DAR.

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akikata utepe kuzindua maonyesho ya 5 ya Kampuni ya EAG Group Ltd yanayofanyika leo katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam,kutoka kushoto ni Msanifu majengo wa wizara ya Ardhi Julius Ndege na Mkurugenzi mkuu wa EAG group Ltd Imani Kajula. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akipewa maelekezo alipotembelea banda la DEGE Eco Village na  Mkurugenzi  na Afisa Masoko wa DEGE Eco Villag,Ashar Malik katika maonyesho ya 5 ya EAG Group Ltd...

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI PAUL MAKONDA AZINDUA IBADA YA MAKUNDI MAALUMU KATIKA KANISA LA KILUTHERI USHARIKA WA KIGOGO JIJINI DAR

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akizungumza na waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Kigogo na vijana waliopo katika kundi maalumu kutokana na kuathiriwa na matumizi ya dawa za kulevya wakati akizindua ibada makundi maalumu iliyoanzishwa katika kanisa hilo Dar es Salaam jana. Msaidizi mstaafu wa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), George Fute (kulia), akimpongeza Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda kwa kuteuliwa na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani