Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gari la wagonjwa lamtia matatani RC Mahiza

>Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mwantumu Mahiza anadaiwa kuhamisha gari la wagonjwa kutoka Kituo cha Afya cha Kibiti kwenda Zahanati ya Nyamisati kwa ‘shinikizo la wakubwa’.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mahiza akubali yaishe, gari la wagonjwa larudi Kibiti

Hatimaye gari la wagonjwa la Kituo cha Afya cha Kibiti mkoani Pwani lililokuwa limehamishiwa Zahanati ya Nyamisati kwa agizo la mkuu wa mkoa limerudishwa.

 

11 years ago

Mwananchi

Gari la wagonjwa tatizo

Uongozi wa Hospitali ya Rufani ya Manispaa ya Temeke umesema wanakabiliwa na tatizo la kulazimika kuvunja kanuni za afya zinazokataza wagonjwa watoto na watu wazima kubebwa katika gari moja la kusafirisha wagonjwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Pongwe walilia gari la wagonjwa

UKOSEFU wa gari la wagonjwa katika kituo cha afya Pongwe kilichopo kwenye Halmashauri ya Jiji la Tanga unasababisha mazingira magumu ya kuwasafirisha wagonjwa wanaohitaji huduma zaidi za kimatibabu kutoka maeneo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Gari la wagonjwa lanusurika kuchomwa moto

GARI la wagonjwa lililotolewa msaada na Shirika la Africare kwa ajili ya Kituo cha Afya Mtowisa wilayani Sumbawanga, Rukwa limenusurika kuchomwa moto na wananchi wa eneo hilo kutokana kudaiwa kuchangia...

 

11 years ago

Habarileo

Sakata la gari la wagonjwa lavunja mkutano

WAKAZI wa Kata ya Mtowisa mkoani Rukwa wamegomea mkutano wa hadhara baina yao na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga, wakishinikiza gari la wagonjwa lirejeshwe kwenye kituo chao cha afya.

 

11 years ago

Dewji Blog

Mwigulu awanunulia wananchi wake gari la kubebea wagonjwa

DSC07824

Naibu Waziri wa Fedha na Mbunge wa jimbo la Iramba magharibi, Mh. Mwigulu Nchemba akihutubia wapiga kura wake na wananchi wa kata ya Mtoa tarafa ya Shelui ambapo pamoja na mambo mengine, alihimiza ujenzi wa zahanati kwa kila kijiji.

DSC07878

Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Kebwe Stephen Kebwe (MB) akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Mgongo tarafa ya Shelui jimbo la Iramba magharibi ambapo amewataka Wakurugenzi wa halmashauri za majiji, manispaa na wilaya...

 

10 years ago

Dewji Blog

UNFPA wakabidhi msaada wa gari la wagonjwa, jengo na vifaa vya upasuaji Geita

DSC_0048

Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa (wa pili kulia) akisalimiana na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Grace Lyon mara baada ya kuwasili kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kutokomeza Fistula yaliyofanyika kitaifa  katika Wilaya Mbogwe, Geita. Kulia ni  Kaimu Mkuu wa wilaya ya Mbogwe, Amani Mwenegoha na Kushoto ni Naibu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Haika Mawalla na wa  pili kushoto...

 

10 years ago

Michuzi

MAMA SALMA KIWETE AKABIDHI GARI LA WAGONJWA KWENYE HOSPITALI YA MKOMAINDO HUKO MASASI

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na mmoja wa wauguzi katika hospitali ya Wilaya ya Masasi, Mkomaindo, mara baada ya kuwasili hospitalini hapo kwa ajili ya kuwatembelea wagonjwa tarehe 19.3.2015.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimwelekeza Bibi Zauda Amuli,18, mkazi wa Mtaa wa Moroco namna ya kumnyonyesha mtoto wake mchanga aliyezaliwa tarehe 17.3.2015 katika hospitali ya Mkomaindo huko Masasi tarehe 19.3.2015.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimchukua mtoto mchanga kutoka kwa mama...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kampuni ya Sayed Corporation Limited yatoa gari la wagonjwa kwa hospitali ya Endulen ya Ngorongoro

IMGL7537

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua gari la kubeba wagonjwa lililotolewa na kampuni ya  Sayed Corporation Limited  kwa ajili ya hospitali ya Endulen ya Ngorongoro . Gari hilo lilikabidhiwa kwa Waziri Mkuu, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Juni 1, 2015 na  Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Bw. Masood  ur Rehman Sayed (kulia kwake) jijini Dar es slaam .  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani