Gari la wagonjwa tatizo
Uongozi wa Hospitali ya Rufani ya Manispaa ya Temeke umesema wanakabiliwa na tatizo la kulazimika kuvunja kanuni za afya zinazokataza wagonjwa watoto na watu wazima kubebwa katika gari moja la kusafirisha wagonjwa.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-iYI46z3__8c/VgRkWQ59Z9I/AAAAAAAD9Rs/RaSxAG_3anI/s72-c/makete.jpg)
Kigulu Makete hawajawahi kuona gari tangu uhuru, Mbunge akiri, tatizo kukosa barabara, asema mwaka huu wataona gari
![](http://4.bp.blogspot.com/-iYI46z3__8c/VgRkWQ59Z9I/AAAAAAAD9Rs/RaSxAG_3anI/s640/makete.jpg)
Makete. Haitashangaza kusikia wakazi wa kata fulani hawajawahi kuona lami tangu Tanzania ipate uhuru mwaka 1961 kwani katika hali ya kawaida kunakuwapo miundombinu ya barabara ambayo hata kama si kwa kiwango cha kuridhisha, magari yanafika kila kukicha.
Hata kama hayafiki kila siku, lakini wananchi wana uwezo wa kutumia usafiri mwingine kama pikipiki, baiskeli na mikokoteni kuwahi shughuli zao na kusafirisha bidhaa mbalimbali na kujenga uchumi.
Hata hivyo, hali...
10 years ago
Uhuru Newspaper11 Mar
Foleni ya wagonjwa ni tatizo
Na Happiness Mtweve, Dodoma
KITENGO cha Mionzi katika Hospitali ya Rufaa ya mkoani hapa, kimeelemewa na wagonjwa huku ikiwa na mashine moja.
Daktari Bingwa wa Mionzi, Philimon Saigodi, aliwaeleza wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii, kuwa hiyo imekuwa kero kubwa kwa wagonjwa.
Alisema wanahudumia wagonjwa 60 mpaka 70 kutoka katika mikoa ya Singida, Dodoma na wilaya za Kiteto na Manyoni.
Alisema kitengo hicho ni kikubwa na kina wagonjwa wengi, ambao wanaongezeka siku hadi siku, hivyo...
11 years ago
Tanzania Daima02 Apr
Pongwe walilia gari la wagonjwa
UKOSEFU wa gari la wagonjwa katika kituo cha afya Pongwe kilichopo kwenye Halmashauri ya Jiji la Tanga unasababisha mazingira magumu ya kuwasafirisha wagonjwa wanaohitaji huduma zaidi za kimatibabu kutoka maeneo...
11 years ago
Habarileo15 Jan
Sakata la gari la wagonjwa lavunja mkutano
WAKAZI wa Kata ya Mtowisa mkoani Rukwa wamegomea mkutano wa hadhara baina yao na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga, wakishinikiza gari la wagonjwa lirejeshwe kwenye kituo chao cha afya.
11 years ago
Mwananchi19 May
Gari la wagonjwa lamtia matatani RC Mahiza
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
Gari la wagonjwa lanusurika kuchomwa moto
GARI la wagonjwa lililotolewa msaada na Shirika la Africare kwa ajili ya Kituo cha Afya Mtowisa wilayani Sumbawanga, Rukwa limenusurika kuchomwa moto na wananchi wa eneo hilo kutokana kudaiwa kuchangia...
11 years ago
Mwananchi10 Jun
Mahiza akubali yaishe, gari la wagonjwa larudi Kibiti
11 years ago
Dewji Blog14 Apr
Mwigulu awanunulia wananchi wake gari la kubebea wagonjwa
Naibu Waziri wa Fedha na Mbunge wa jimbo la Iramba magharibi, Mh. Mwigulu Nchemba akihutubia wapiga kura wake na wananchi wa kata ya Mtoa tarafa ya Shelui ambapo pamoja na mambo mengine, alihimiza ujenzi wa zahanati kwa kila kijiji.
Naibu Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk.Kebwe Stephen Kebwe (MB) akizungumza kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Mgongo tarafa ya Shelui jimbo la Iramba magharibi ambapo amewataka Wakurugenzi wa halmashauri za majiji, manispaa na wilaya...
10 years ago
Dewji Blog25 May
UNFPA wakabidhi msaada wa gari la wagonjwa, jengo na vifaa vya upasuaji Geita
Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mh. Kassim Majaliwa (wa pili kulia) akisalimiana na Meneja Biashara Idara ya Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Grace Lyon mara baada ya kuwasili kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kutokomeza Fistula yaliyofanyika kitaifa katika Wilaya Mbogwe, Geita. Kulia ni Kaimu Mkuu wa wilaya ya Mbogwe, Amani Mwenegoha na Kushoto ni Naibu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Hospitali ya CCBRT, Haika Mawalla na wa pili kushoto...