Gavana wa Aden ameuawa katika shambulizi
Maafisa wa kiusalama nchini Yemen, wanasema kuwa mlipuko mmoja mkubwa umemuua gavana wa mji wa Aden ulioko bandarini mwa taifa hilo pamoja na walinzi wake.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili23 Apr
4 wauawa katika shambulizi Kenya
Watu 4 wanahofiwa kufariki katika shambulizi la bomu lililokuwa limetegwa katika gari moja karibu na kituo cha polisi mjini Nairobi
11 years ago
BBCSwahili15 Jul
50 wauawa katika shambulizi Afghanistan
Ripoti zinasema kuwa takriban watu 50 wameuawa katika shambulizi la bomu lililotokea katika soko moja mashariki mwa Afghanistan
10 years ago
Vijimambo15 Apr
17 wauawa katika shambulizi la Al Shabaab
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/03/28/150328014047_somalia_hotel_attack_2_624x351_afp.jpg)
Watu 17 wameripotiwa kuuawa na wengine 20 kujeruhiwa vibaya wakati wanamgambo wa Kiislamu wa Al Shaabab waliposhambulia majengo ya wizara ya elimu mjini Mogadishu,Somalia.
Mwandishi wa BBC Mohammed Moalimu,amesema kuwa wavamizi hao walilipua bomu lililotegwa ndani ya gari kwenye ukuta wa jengo hilo
Kulingana na msemaji wa idara ya usalama wa ndani Mohammed Yusuf...
10 years ago
BBCSwahili26 Jul
14 wauawa katika shambulizi Cameroon.
Watu 14 wameuawa jana usiku katika shambulizi la bomu lililofanyika kwenye jumba moja la starehe katika mji wa Maroua Kaskazini mwa Cameroon.
11 years ago
BBCSwahili21 May
17 wauawa katika shambulizi Borno,Nigeria
Watu 17 wameuawa katika shambulizi lililofanywa dhidi ya kijiji kimoja katika jimbo la Borno Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-BXXO5euNIhI/XvQ2PkABGqI/AAAAAAAAWto/4k1yE8Jo3eQ_zRCd-gZTsN7V37BiAuKrwCLcBGAsYHQ/s72-c/5bd4209b5ce5e.jpg)
ASKARI 7 WAUAWA KATIKA SHAMBULIZI AFGHANISTAN
![](https://1.bp.blogspot.com/-BXXO5euNIhI/XvQ2PkABGqI/AAAAAAAAWto/4k1yE8Jo3eQ_zRCd-gZTsN7V37BiAuKrwCLcBGAsYHQ/s400/5bd4209b5ce5e.jpg)
Wizara ya Ulinzi imetangaza kwamba wanamgambo walishambulia kituo cha jeshi katika kijiji cha Akazi wilayani Bala Murgab.
Imeelezwa kuwa askari 7 wamepoteza maisha yao na askari 5 wamejeruhiwa katika shambulizi hilo.
Hata hivyo, inasemekana kuwa Taliban nao wamepoteza idadi kubwa ya wanamgambo wao wakati wa shambulizi hilo.
10 years ago
Vijimambo11 Jan
Shujaa Muislamu katika shambulizi Paris
![](http://i.dailymail.co.uk/i/pix/2015/01/10/249152F500000578-2903829-image-a-3_1420913373319.jpg)
Mamia ya wanajeshi wanashika zamu mjini Paris baada ya siku tatu za ugaidi zilizouwa watu 17, huku taarifa zikitokeza kuhusu jinsi mfanyakazi Muislamu wa supermarket ya Wayahudi mjini Paris alivyowaficha wateja 15 pamoja na mtoto mchanga wa mwezi mmoja wakati duka hilo liliposhambuliwa na gaidi.
Aliwaficha wateja kwenye chumba cha barafu.Lassana Bathily, kijana wa asili ya Mali, aliiambia televisheni ya Ufaransa kuwa aliwaongoza wateja waliokuwa wamebabaika, hadi chumba cha...
10 years ago
BBCSwahili13 Jul
Polisi 4 wauawa katika shambulizi Tanzania
Maafisa 4 wa polisi na raia 2 wameuawa baada ya watu wasiojulikana kuvamia kituo cha polisi mjini Dar es salaam Tanzania.
10 years ago
BBCSwahili12 Mar
Watu 5 wafariki katika shambulizi Baidoa
Alshabaab wamepigana na kufanikiwa kuingia katika makao makuu ya utawala wa jimbo katika mji wa eneo la kati wa Baidoa .
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania