Shujaa Muislamu katika shambulizi Paris
Lassana Bathil
Mamia ya wanajeshi wanashika zamu mjini Paris baada ya siku tatu za ugaidi zilizouwa watu 17, huku taarifa zikitokeza kuhusu jinsi mfanyakazi Muislamu wa supermarket ya Wayahudi mjini Paris alivyowaficha wateja 15 pamoja na mtoto mchanga wa mwezi mmoja wakati duka hilo liliposhambuliwa na gaidi.
Aliwaficha wateja kwenye chumba cha barafu.Lassana Bathily, kijana wa asili ya Mali, aliiambia televisheni ya Ufaransa kuwa aliwaongoza wateja waliokuwa wamebabaika, hadi chumba cha...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili10 Jan
Shujaa Muislamu katika sakata ya Paris
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
Kiongozi wa shambulizi la Paris 'alikuwa mlevi'
9 years ago
BBCSwahili14 Nov
Kundi la IS lakiri kutekeleza shambulizi Paris
9 years ago
Dewji Blog15 Nov
SHAMBULIZI LA PARIS: Polisi wasema kuna mshambuliaji mmoja wa tukio hilo alitaka kuingia uwanjani!
Wanahabarina mashabiki wa soka wakiwa wamejikusanya ndani ya uwanja huo wa mpira ambao nje kulitokea mlipuko huo wa mabomu uliouwa watu zaidi ya 120 usiku wa Novemba 13.2015 katika jiji la Paris.
Na Rabi Hume na mashirika ya habari
Polisi waliokuwa wakikagua mashabiki wa mpira waliokuwa wakiingia uwanjani katika mchezo wa kirafiki kati ya Ufaransa na Ujerumani wameuambia mtandao wa Wall Street Journal kuwa kuna mshambuliaji wa tukio hilo alitaka kuingia uwanjani.
Polisi wamesema kuwa...
9 years ago
Dewji Blog16 Nov
SHAMBULIZI LA PARIS: Mashindano ya EURO 2016 pale pale! -Waratibu
Jiji la Paris nchini Ufaransa linavyoonekana ambapo baadhi ya vwanja vyake kadhaa vinatarajiwa kutimua vumbi hapo baadae katika michuano ya soka ya Ulaya maarufu kama EURO 2016.
Na Rabi Hume, Modewjiblog na Mashirika ya Habari.
Mratibu wa Mashindano ya Euro kwa mwaka 2016, Jacques Lambert yanayotarajiwa kufanyika Ufaransa amesema kutokea kwa shambulio la Paris hakuwezi kuwa sababu ya kusimamisha mashindano ya Euro 2016.
Akizungumza na kituo cha redio cha Ufaransa cha RTL, Lambert...
10 years ago
BBCSwahili26 Jul
14 wauawa katika shambulizi Cameroon.
10 years ago
Vijimambo15 Apr
17 wauawa katika shambulizi la Al Shabaab
![](http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2015/03/28/150328014047_somalia_hotel_attack_2_624x351_afp.jpg)
Watu 17 wameripotiwa kuuawa na wengine 20 kujeruhiwa vibaya wakati wanamgambo wa Kiislamu wa Al Shaabab waliposhambulia majengo ya wizara ya elimu mjini Mogadishu,Somalia.
Mwandishi wa BBC Mohammed Moalimu,amesema kuwa wavamizi hao walilipua bomu lililotegwa ndani ya gari kwenye ukuta wa jengo hilo
Kulingana na msemaji wa idara ya usalama wa ndani Mohammed Yusuf...
11 years ago
BBCSwahili23 Apr
4 wauawa katika shambulizi Kenya
11 years ago
BBCSwahili15 Jul
50 wauawa katika shambulizi Afghanistan