Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHAMBULIZI LA PARIS: Polisi wasema kuna mshambuliaji mmoja wa tukio hilo alitaka kuingia uwanjani!

 

Paris-shooting (5)

Wanahabarina mashabiki wa soka wakiwa wamejikusanya ndani ya uwanja huo wa mpira ambao nje kulitokea mlipuko huo wa mabomu uliouwa watu zaidi ya 120 usiku wa Novemba 13.2015 katika jiji la Paris.

Na Rabi Hume na mashirika ya habari

Polisi waliokuwa wakikagua mashabiki wa mpira waliokuwa wakiingia uwanjani katika mchezo wa kirafiki kati ya Ufaransa na Ujerumani wameuambia mtandao wa Wall Street Journal kuwa kuna mshambuliaji wa tukio hilo alitaka kuingia uwanjani.

Polisi wamesema kuwa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mshambuliaji wa kwanza wa Paris azikwa

Mmoja wa watu ambao wanatuhumiwa kutekeleza mauaji ya kigaidi katika mji mkuu wa Ufaransa Paris mwezi uliopita amezikwa katika kaburi iliyofichika

 

10 years ago

Vijimambo

MAJAMBAZI YAUA BINTI MMOJA NA KUJERUHI MMOJA KATIKA TUKIO LA UPORAJI LILILOTOKEA LEO ASUBUHI YOMBO VITUKA

Mwili wa marehemu aliyefahamika kwa jina moja la Betty baada ya kupigwa risasi leo asubuhi huko Yombo Vituka, Temeke jijini Dar es Salaam ukiwa umesitiriwa kwa kufunikwa na khanga.Gari alilokuwa amepanda marehemu betty likiwa limedumbukia mtaroni kutokana na dereva wa gari hilo mali ya kampuni ya ulinzi ya Tunu kupigwa risasi ya mkono mara baada ya kukataa kusimama wakati alipoambiwa kufanya hivyo na majambazi.
Majambazi wawili waliokuwa na pikipiki wamuua Binti mmoja aliyefahamika kwa jina...

 

11 years ago

GPL

LINAH KUNA STAA ALITAKA TUFANYE USAGAJI

Makala: Joseph Shaluwa
NIKISEMA msichana huyu ni kati ya mastaa wa Bongo Fleva wanaofanya vizuri nitakuwa sijampa sifa za bure! Ni kweli anaweza. Sauti yake, anavyoweza kutawala jukwaa ni kati ya mambo yanayosherehesha sifa hiyo. Staa wa Bongo Fleva Linah Sanga akisikiliza kwa makini baadhi ya maswali ya wanahabari wa GPL. Ni msichana mdogo tu, mzaliwa wa tatu kati ya watano kutoka familia ya mzee Peter Sanga. Jina lake...

 

10 years ago

Vijimambo

Shujaa Muislamu katika shambulizi Paris

Lassana Bathil

Mamia ya wanajeshi wanashika zamu mjini Paris baada ya siku tatu za ugaidi zilizouwa watu 17, huku taarifa zikitokeza kuhusu jinsi mfanyakazi Muislamu wa supermarket ya Wayahudi mjini Paris alivyowaficha wateja 15 pamoja na mtoto mchanga wa mwezi mmoja wakati duka hilo liliposhambuliwa na gaidi.





Aliwaficha wateja kwenye chumba cha barafu.Lassana Bathily, kijana wa asili ya Mali, aliiambia televisheni ya Ufaransa kuwa aliwaongoza wateja waliokuwa wamebabaika, hadi chumba cha...

 

9 years ago

BBCSwahili

Kundi la IS lakiri kutekeleza shambulizi Paris

Kundi la kigaidi la Islamic State limekiri kutekeleza shambulizi la Paris.

 

9 years ago

BBCSwahili

Kiongozi wa shambulizi la Paris 'alikuwa mlevi'

Mshukiwa aliyeongoza mashambulio ya kigaidi mjini Paris Abdelhamid Abaaoud,alionekana akinywa pombe na kuvuta bangi na watu wengine nje ya nyumba yake.

 

5 years ago

Michuzi

JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA LAKAMATA WATUHUMIWA WA TUKIO LA MAUAJI, AKIWEMO POLISI

JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wanne akiwemo Askari Polisi mmoja namba G.8695 PC JOHN KAIJAGE [34] Mkazi wa Isyesye Jijini Mbeya, FOTUNATUS KAGANDE [23] Mkazi wa Iwambi, PETSON DANIEL [22] Mkazi wa Iwambi na JASTINI KAGANDE [27] Mwanafunzi St.John na Mkazi wa Iwambi kwa tuhuma za kumuua ERASTO MWALWEGO [29] Dereva Pikipiki @ Bodaboda na Mkazi wa Nzovwe.
Ni kwamba mnamo tarehe 20.06.2020 majira ya saa 21:00 Usiku huko katika nyumba ya kulala wageni iitwayo “The...

 

9 years ago

Dewji Blog

SHAMBULIZI LA PARIS: Mashindano ya EURO 2016 pale pale! -Waratibu

paris_france_eiffel_tower_a_l

Jiji la Paris nchini Ufaransa linavyoonekana ambapo baadhi ya vwanja vyake kadhaa vinatarajiwa kutimua vumbi hapo baadae katika michuano ya soka ya Ulaya maarufu kama EURO 2016.

Na Rabi Hume, Modewjiblog na Mashirika ya Habari.

Mratibu wa Mashindano ya Euro kwa mwaka 2016, Jacques Lambert yanayotarajiwa kufanyika Ufaransa amesema kutokea kwa shambulio la Paris hakuwezi kuwa sababu ya kusimamisha mashindano ya Euro 2016.

Akizungumza na kituo cha redio cha Ufaransa cha RTL, Lambert...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani