LINAH KUNA STAA ALITAKA TUFANYE USAGAJI
![](http://api.ning.com:80/files/at5DaH0Gs6kxYGQOYO0M50p5reiol6Fru0wyPUzWlbYrv6mM7d10HOTQcl5DRTgJQt5U0QkHdNQZMdAwSPAjW4gcUhctZM3n/linah5.gif?width=650)
Makala: Joseph Shaluwa NIKISEMA msichana huyu ni kati ya mastaa wa Bongo Fleva wanaofanya vizuri nitakuwa sijampa sifa za bure! Ni kweli anaweza. Sauti yake, anavyoweza kutawala jukwaa ni kati ya mambo yanayosherehesha sifa hiyo. Staa wa Bongo Fleva Linah Sanga akisikiliza kwa makini baadhi ya maswali ya wanahabari wa GPL. Ni msichana mdogo tu, mzaliwa wa tatu kati ya watano kutoka familia ya mzee Peter Sanga. Jina lake...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies15 Apr
Hii Ndio Show na Kauli ya Mwisho ya Sharo, Sikujua Kwanini Alitaka Tufanye Kazi na Stanbakora-KITALE
Show ya mwisho kufanya na marehemu sharo ilikuwa mwembe yanga show ya DTV nakumbuka ilikuwa inaitwa "NI WAKATI WAKO" baada ya hapo kesho asubuhi tukaenda tanga kushuti movie yetu hii (Safara Hasara) ambayo 20/04/2015 ndio inatoka tukamaliza kushuti salama salimini tukarudi DAR usiku napigiwa simu na marehemu sajuki anataka niende kwenye show yake iringa CHANGIA SAJUKI tarehe 25/11/2012 akabaki kwa sababu alikuwa katoka magomeni kaamia sinza ana siku mbili bado mgeni sinza basi mimi nikafanya...
9 years ago
Dewji Blog15 Nov
SHAMBULIZI LA PARIS: Polisi wasema kuna mshambuliaji mmoja wa tukio hilo alitaka kuingia uwanjani!
Wanahabarina mashabiki wa soka wakiwa wamejikusanya ndani ya uwanja huo wa mpira ambao nje kulitokea mlipuko huo wa mabomu uliouwa watu zaidi ya 120 usiku wa Novemba 13.2015 katika jiji la Paris.
Na Rabi Hume na mashirika ya habari
Polisi waliokuwa wakikagua mashabiki wa mpira waliokuwa wakiingia uwanjani katika mchezo wa kirafiki kati ya Ufaransa na Ujerumani wameuambia mtandao wa Wall Street Journal kuwa kuna mshambuliaji wa tukio hilo alitaka kuingia uwanjani.
Polisi wamesema kuwa...
10 years ago
GPLJOKATE: MAPENZI YA STAA KWA STAA MBONA POA TU!
9 years ago
MillardAyo29 Dec
Baada ya kuuwawa kwa risasi kwa staa wa soka wa Honduras, staa mwingine tena kauwawa kwa risasi
Ikiwa ni zaidi ya wiki moja toka mchezaji wa timu ya taifa ya Honduras Arnold Peralta itangazwa kauwawa kwa risasi, December 28 mitandao mingi ya Ulaya imeripoti kifo cha staa mwingine wa soka aliyeuwawa kwa kupigwa risasi. December 27 aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya El Salvador Alfred Pacheco ameuawa kwa kupigwa na risasi wakati akiwa […]
The post Baada ya kuuwawa kwa risasi kwa staa wa soka wa Honduras, staa mwingine tena kauwawa kwa risasi appeared first on...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8l--NuzR*jGYR4zuUF8tb5lxKtF*VBQBRTQF0GjAnQaO00SZoBteuzTkQiUBl3cIrWXRgv4FY4DAQoCxZvkD3ep8WWHlcVQX/wolper.jpg?width=650)
WOLPER ATESWA NA USAGAJI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YLaeso7tISBd5lySvHhOIBV3HrGcL389jPk1dpYF1oCp0Ei-sxOzZcFVbtYgJf7vSvKHJdUGTBo6rjeSpJNJARFXx79wtHHB/vai.jpg)
NIMETENGWA, KISA USAGAJI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vYFBfoh8eSoqGPlEF-S910BaTEqCPVBR7U1pMAFkknGQKZIRTyqX*3R-mdrmW11Kkh33vOSRYM2*aBrrKQsWbcFBT1urhgho/sms.jpg)
SMS ZA USAGAJI ZA ANTI LULU ZANASWA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6Yi1*KCqJURfKXXNeoHpzayWVXDfB-GSNxQ6a0csmCrGFx31r5BcjPX-IL3ubqNIS-ENSWas6Q3JcrKmzbo5qqxGcsi8iPU1/ANTYLULU.jpg?width=650)
AUNTY LULU: NITAFANYA DHAMBI ZOTE SI USAGAJI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YkTQKvQouupdwBrsXDvWfc*Gb*8Wbp-TsaJKfwSw6-PDqzXJL7rZtVqlUAWPqkge0hTkHqRQIUOOKviMtWkHecONTYWENPLe/1.jpg?width=650)
AUNTY LULU AMWANGUKIA MAMA’KE KWA USAGAJI