Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gavana wa Nairobi atimuliwa ofisini

Gavana wa mji mkuu wa Kenya, Nairobi, Evans Kidero ametimuliwa mamlakani na mahakama ya rufaa ikisema kuwa hakuchaguliwa kihalali

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Gavana wa benki Nigeria atimuliwa

Gavana Lamido Sanusi amesimamishwa kazi akisubiri uchunguzi wa kile kinachosemekana kuwa makosa makubwa katika rekodi za benki.

 

5 years ago

BBCSwahili

William Ruto: Naibu rais wa Kenya akiri 'walaghai' walikutana ofisini mwake jumba la Harambee House jijini Nairobi

Naibu rais wa Kenya William Ruto amekiri kwamba watu waliopanga kashfa ya mamilioni ya dola walitembelea ofisi yake katika jumba la Harambee House Annex.

 

9 years ago

Mwananchi

Mourinho atimuliwa Chelsea

Kocha Jose Mourinho ametimuliwa na klabu ya Chelsea baada ya kupata kipigo cha mabao 2-1 mbele ya Leicester City na kuendeleza jinamizi la kupoteza michezo lililoikumba klabu hiyo msimu huu.

 

10 years ago

GPL

MASOGANGE ATIMULIWA SAUZ!

Sifael Paul na Imelda Mtema
HABARI ikufikie kuwa muuza nyago wa video za wasanii wa Bongo Fleva (video queen), Agness Gerald ‘Masogange’ anadaiwa kutimuliwa nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’ na sasa amekuwa akionekana Bongo akirandaranda mitaani. Muuza nyago wa video za wasanii wa Bongo Fleva (video queen), Agness Gerald ‘Masogange’. TUJIUNGE JOHANNESBURG
Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho...

 

9 years ago

Mtanzania

Mlinzi wa Lowassa atimuliwa

MTZ jmosi new 24 Nov 2015.indd*Ni ofisa usalama mwandamizi aliyepigana Vita ya Uganda

*Alikuwa ‘bodyguard’ wa Nyerere aliyemfia mikononi

NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM

ALIYEKUWA mlinzi wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ofisa usalama mwandamizi, Aloyce Tendewa, amefukuzwa kazi.

Taarifa zilizolifikia MTANZANIA Jumamosi kutoka vyanzo vyake vya uhakika vilivyo serikalini, zimedai kuwa Tendewa amefukuzwa kazi na mwajiri wake ambaye ni Idara ya Usalama wa Taifa (TIS) kwa kosa la kushindwa kutekeleza majukumu yake ya...

 

10 years ago

Mtanzania

Kaseja atimuliwa Yanga

kasejaJUDITH PETER NA SAADA AKIDA
KLABU ya soka ya Yanga, imevunja mkataba wake na kipa, Juma Kaseja, kwa kushindwa kufuata kanuni na masharti yaliyowekwa na uongozi wa klabu hiyo, kuchelewa kuripoti kambini kwa saa 48 na kutohudhuria mazoezi.
Yanga ilitoa tahadhari kuwa mchezaji yeyote ambaye atashindwa kuripoti kambini ndani ya saa 48 na kukosa mazoezi bila ruhusa maalumu ya kocha, atakuwa amevunja mkataba wake na kujifukuzisha kazi.
Kaseja amekuwa mchezaji wa kwanza wa Yanga kukumbwa na adhabu...

 

11 years ago

GPL

KOCHA WA SPURS ATIMULIWA

Kocha wa Tottenham Hotspur aliyetimuliwa, Timothy Sherwood. KOCHA wa timu ya Tottenham Hotspur, Timothy Sherwood ametimuliwa kazi ya kuendelea kukinoa kikosi cha timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu England. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 45 alianza kukinoa kikosi cha Spurs chenye maskani yake London tangu mwaka 2013.

 

11 years ago

GPL

Brandts atimuliwa Yanga

Kocha Ernie Brandts. Na Mwandishi Wetu KOCHA Ernie Brandts hana chake tena Yanga na ndani ya siku mbili, uongozi wa klabu hiyo utatangaza kumtimua.
Taarifa za uhakika ambazo Championi Jumatatu limezipata kutoka ndani ya Yanga, zimeeleza Brandts ameshafukuzwa kazi.
“Kweli Brandts ameonekana hafai na wakubwa walikaa jana kikao mara tu baada ya mechi ya Simba na Yanga, wamefikia hatua ya kumuachisha kazi. “Mimi...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri atimuliwa Ghana

Rais wa Ghana, John Mahama amewaondoa Waziri wa Michezo na naibu wake katika wizara hiyo baada ya timu ya taifa ya  Black Stars kufanya vibaya katika Kombe la Dunia

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani