Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KOCHA WA SPURS ATIMULIWA

Kocha wa Tottenham Hotspur aliyetimuliwa, Timothy Sherwood. KOCHA wa timu ya Tottenham Hotspur, Timothy Sherwood ametimuliwa kazi ya kuendelea kukinoa kikosi cha timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu England. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 45 alianza kukinoa kikosi cha Spurs chenye maskani yake London tangu mwaka 2013.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Kriketi: Kocha wa West Indies atimuliwa

Timu ya Kriketi ya West Indies imemtimua kocha wake mkuu Phil Simmons baada ya kushutumiwa kuchagua timu vibaya

 

9 years ago

Bongo5

Kocha Jose Mourinho atimuliwa Chelsea

José Mourinho

Chelsea imemtimua meneja wake Jose Mourinho.

José Mourinho

Kocha huyo raia wa Ureno mwenye miaka 52, alikuwa akiifundisha Chelsea kwa awamu ya pili kuanzia June 2013.

Chelsea imekuwa na msimu mbaya zaidi kwa kufungwa mechi 16 hadi sasa.

Pep Guardiola, Guus Hiddink, Brendan Rodgers na Juande Ramos ni majina yanayotajwa zaidi kushika nafasi yake.

Akiwa na Chelsea, kocha huyo alishinda ubingwa wa ligi kuu ya England mara tatu, mbili katika awamu yake ya kwanza kati ya mwaka 2004 na 2007.

Jiunge na...

 

9 years ago

Bongo5

David Moyes atimuliwa kama kocha wa Real Sociedad

Moyes2

David Moyes ametimuliwa kama kocha wa klabu ya Real Sociedad ya Hispania, mwaka mmoja baada ya kuinoa.

Moyes2

Kocha huyo mwenye miaka 52 aliyefanya timu yake imalize msimu uliopita wa ligi ya La Liga katika nafasi ya 12, alijiunga nayo November 2014.

Maelezo kutoka Sociedad yamedai kuwa imeamua kuusitisha mkataba wa Moyes. Kocha msaidizi, Billy McKinlay naye amefungashiwa virago.

Moyes alichukuliwa na Sociedad baada ya kutimuliwa kama kocha wa Manchester United April 2014.

Jiunge na Bongo5.com...

 

10 years ago

Vijimambo

KOCHA WA YANGA AGOMA KUMPA MKONO KOCHA MWENZIE

Kocha simba akimpa mkono kocha wa YangaHans ameshindwa kupeana mkono wa pongezi na kocha mwenzake kutokana na kikosi chake kukubali kupokea kichapo kutoka kwa wekundu wa msimbazi lakini katika hali ya kawaida mchezo ukimalizika makocha upeana mkono kama ishara ya kukubali matokeo (fair play) na kocha msaidizi wa yanga Boniface Mkwasa ametoa mkono huku akiwa ameangalia pembeni.Goran akimwambia basi samahani kwa kukufunga wewe nipe mkono tuBaada ya mchezo kocha aliwashukuru wachezaji wake kwa...

 

10 years ago

BBC

Spurs' Adebayor given time away

Emmanuel Adebayor is granted compassionate leave for personal reasons for the second time this season.

 

9 years ago

Habarileo

Chelsea yasimamishwa na Spurs

KLABU ya Tottenham imeendeleza kutopoteza mchezo kwenye Ligi Kuu ya England, lakini ilikosa nafasi ya kujiweka nafasi ya nne kwenye msimamo baada ya kutoka sare ya bila kufungana na Chelsea.

 

11 years ago

BBC

Spurs disrespected me - Adebayor

Togo striker Emmanuel Adebayor accuses Tottenham of disrespecting him as he scores twice in a 3-2 win over Southampton.

 

9 years ago

BBCSwahili

Arsenal, Spurs hakuna mbabe

Arsenal wakicheza katika uwanja wao wa Emirate walikwenda sare ya kufungana bao 1-1 na klabu ya Tottenham.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani