Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Spurs disrespected me - Adebayor

Togo striker Emmanuel Adebayor accuses Tottenham of disrespecting him as he scores twice in a 3-2 win over Southampton.

BBC

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBC

Spurs' Adebayor given time away

Emmanuel Adebayor is granted compassionate leave for personal reasons for the second time this season.

 

10 years ago

GPL

SAKATA LA ADEBAYOR NA FAMILIA YAKE: ADEBAYOR KUMWAGA 'UBUYU' MWINGINE WA MDOGO WAKE ROTIMI

Adebayor ametupia picha hii Facebook na kuahidi kutoa sehemu ya 2 ya stori ya kaka yake Rotimi. SAKATA la straika wa Klabu ya Tottenham ya nchini Uingereza, Emmanuel Adebayor na familia yake limechukua sura mpya ambapo staa huyo ameahidi kutoa sehemu ya pili ya stori 'ubuyu' mwingine kuhusu kaka yake mwingine aitwaye Rotimi Adebayor muda muafaka ukifika. Adebayor ameahidi kutoa ubuyu huo ikiwa ni siku chache tangu aachie waraka...

 

9 years ago

Habarileo

Chelsea yasimamishwa na Spurs

KLABU ya Tottenham imeendeleza kutopoteza mchezo kwenye Ligi Kuu ya England, lakini ilikosa nafasi ya kujiweka nafasi ya nne kwenye msimamo baada ya kutoka sare ya bila kufungana na Chelsea.

 

11 years ago

GPL

KOCHA WA SPURS ATIMULIWA

Kocha wa Tottenham Hotspur aliyetimuliwa, Timothy Sherwood. KOCHA wa timu ya Tottenham Hotspur, Timothy Sherwood ametimuliwa kazi ya kuendelea kukinoa kikosi cha timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu England. Kocha huyo mwenye umri wa miaka 45 alianza kukinoa kikosi cha Spurs chenye maskani yake London tangu mwaka 2013.

 

11 years ago

BBCSwahili

Spurs yalaumu uwanja Ukraine

Kocha wa Tottenham ,Tim Sherwood amesema uwanja wa FC Dnipro haufai kwa mechi za kimataifa.

 

11 years ago

BBCSwahili

Arsenal yailaza Tottenham Spurs 1-0

Mchezaji Rosicky aliingiza bao la kipekee dakika chache tu baada ya mchezo kung'oa nanga.

 

11 years ago

BBCSwahili

West Ham yaiadhibu Spurs.

Westham yaiadhibu Tottenham Hot Spurs Kombe la Capital One

 

9 years ago

BBCSwahili

Spurs, Leicester zapeta Epl

Wakicheza ugenini katika dimba la light, timu ya soka ya Tottenham imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Sunderland

 

10 years ago

BBCSwahili

Wachezaji wa Spurs wahofia kuzomewa

Emmanuel Adebayor, amesema wachezaji wa klabu hiyo wanahofia kuchezea nyumbani kwani wanazomewa na mashabiki wao

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani