Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gavana: Watanzania njooni Hiiumaa kuna fursa za ajira

Gavana wa Kisiwa cha Hiiumaa, kilichoko Estonia, Riho Ruhoja amewakaribisha Watanzania kutumia fursa za ajira zilizoko kisiwani humo kwa kuwa kuna idadi ndogo ya wakazi katika eneo hilo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Watanzania wahimizwa kuchangamkia fursa za ajira, Emirates

Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Simba Yahya akizungumza na waandishi wa Habari katika ukumbi wa Habari-Maelezo. Balozi Yahya aliwaomba wanahabari hao kuwafikishia ujumbe Watanzania wote ili wachangamkie fursa za ajira katika Shirika la Ndege la Emirates. Wengine katika picha, kulia ni Konseli Mkuu wa Konseli ya Tanzania nchini Dubai Bw. Omar Mjenga na kushoto ni Kaimu Mkuu Mtendaji kutoka Wakala wa Huduma za Ajira...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Watanzania wachelea fursa za ajira Afrika Mashariki

WAKATI wakuu wa nchi za Afrika Mashariki walipotia saini mkataba wa kuanzisha Jumuiya ya Afrika Mashariki mwaka 1999, kila upande ulilenga maslahi ya kiuchumi na maendeleo kwa nchi na wananchi...

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA AWATAKA WATANZANIA KUCHANGAMKIA FURSA ZA AJIRA ZITOLEWAZO NA AFRIKA MASHARIKI

WATANZANIA wametakiwa kujifunza kuchangamkia fursa za ajira zinazotolewa na Afrika Mashariki kama ilivyo kwa nchi nyingine.
Kauli hiyo ilitolewa jana na mgombea wa Urais kupitia Chadema, Edward Lowassa alipokuwa kwenye kampeni zake zilizofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Namanga.
Lowassa alisema iwapo atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atahakikisha kuwa watanzania wanachangamkia fursa za Afrika Mashariki kama ilivyo kwa Kenya.
"Napenda mahusiano ya Afrika...

 

9 years ago

Michuzi

Benki ya Exim yatangaza fursa sawa ya ajira kwa watanzania bila kujali mipaka

 Mkuu wa kitengo cha Rasilimali watu wa benki ya Exim Tanzania  Bw. Frederick Kanga (katikati) akimfanyia usahili mmoja wa watanzania anayeishi nchini Marekani Bw. Paul Rupia mara baada ya Mkutano wa Uajiri barani  Afrika (Career Africa Recruitment Summit 2015) uliofanyika mjini New York, Marekani hivi karibuni. Anayeshuhudia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo Bw Dinesh Arora. Benki hiyo imeahidi kutoa fursa sawa za ajira kwa Watanzania wote wakiwemo wale wanaoishi nje ya nchi ili...

 

11 years ago

GPL

IVO MAPUNDA: WATANZANIA NJOONI TUONYESHE MATUMAINI KWA TAIFA LETU

Kipa namba moja wa Simba SC, Ivo Mapunda awakaribisha Watanzania katika Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014 ndani ya Uwanja wa Taifa jijini Dar kuonyesha matumaini yao kwa Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

11 years ago

Tanzania Daima

Kuna ajira ngapi za upendeleo serikalini?

WIZARA ya Mambo ya Ndani, imetangaza kufuta ajira 228 baada ya kuthibitika kuwa zilitolewa kinyume na taratibu kwa upendeleo. Hatua hii ya wizara inafuatia malalamiko kutoka katika jamii, kupitia vyombo vya...

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge: Kuna ubaguzi ajira Polisi

MBUNGE wa Ileje, Aliko Kibona (CCM), amelalamikia alichoita ubaguzi unaofanyika katika utaratibu wa kuajiri Polisi, ambao hupata ajira ya kudumu baada ya kutumikia jeshi kwa miaka 12.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Msitafute ajira, tengenezeni fursa

MKURUGENZI Mkuu wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (Tantrade), Jaqueline Mneney amesema wakati wa watanzania kusaka ajira umekwisha, badala yake watambue muda walionao unawataka wanazalishe ajira. Alisema jambo hilo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani