GAZA:Israel yaendeleza mashambulizi yake
Umoja wa mataifa katika eneo la Gaza unasema kuwa idadi ya raia wa Palestina walioachwa bila makao imefikia elfu arobaini
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili10 Jul
Israel yaendeleza mashambulizi Gaza
Wapalestina 9 wameuawa na Israel wakitizama mchuano wa kombe la Dunia, ndani ya mgahawa mmoja katika mji wa Khan Yunis huko Gaza.
11 years ago
BBCSwahili29 Jul
Israel yaendeleza mashambulizi makali
Israel imeendeleza mashambulizi dhidi ya wapiganajiwa Hamas katika eneo la Gaza baada ya mashambulizi makali usiku kuamkia leo.
11 years ago
BBCSwahili05 Aug
Israel yaanza mashambulizi upya Gaza
Majeshi ya Israel imeanza tena upya operesheni yake ya mashambuzi katika eneo la Gaza baada ya kumalizika kwa saa 7 walizotoa.
11 years ago
BBCSwahili08 Jul
Israel yafanya mashambulizi zaidi Gaza
Israel imefanya mashambulizi zaidi katika ukanda wa Gaza kufuatia shambulizi la makombora yaliyofanywa na kundi la Hamas Jumatatu.
11 years ago
BBCSwahili12 Jul
Israel kuendeleza mshambulizi yake Gaza
Israel imesema kuwa itaendeleza mashambulizi yake Gaza hadi pale kundi la wapiganaji wa Hamas litakapositisha kurusha makombora
10 years ago
BBCSwahili23 Sep
Marekani yaendeleza mashambulizi ya anga
Marekani imezindua mfululizo wa mashambulizi mapya ya anga huko Syria
10 years ago
BBCSwahili04 Dec
Boko:H yaendeleza mashambulizi Nigeria
Hali ya vurugu na mauaji inazidi kuwa mbaya Nigeria siku hadi siku.
11 years ago
BBCSwahili10 Aug
Marekani yaendeleza mashambulizi Iraq
Marekani imesema kuwa imetekeleza mashambulizi zaidi kazkazini mwa Iraq dhidi ya maeneo yanayodhibitiwa na wapiganaji wa Jihad.
11 years ago
BBCSwahili11 Jul
Gaza:Watu 100 wauawa katika mashambulizi
Idadi ya watu waliofariki katika mashambulizi yanayofanywa na Israel katika Ukanda wa Gaza, katika siku nne zilizopita, imefika 100
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania