GENERAL MOTORS WARUDI KWA KISHINDO
Mwenyekiti wa QAML Mwenyekiti,Yusuf Manji wa kwanza kulia, Rais na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya magari ya General Motors East Africa (GMEA) Limited, Mario Spangenberg wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa jengo la Isuzu uzinduzi huo uliofanyika jiji Dar es Salaam leo.
Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya General motors (GMEA) Bi. Rita Kavashe akisaini makubaliano ya kibiashara na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Quality automotive Vinay Upadhyay.
Mkurugenzi mtendaji wa GMEA Rita Kavashe...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
CHIKAWE AIBOMOA NGOME YA CHADEMA NACHINGWEA,VIGOGO, WANACHAMA WAO WARUDI KWA KISHINDO CCM

10 years ago
Vijimambo20 Sep
Diamond motors yaboresha usafiri wa masafa kwa matumizi ya Fuso.

10 years ago
Dewji Blog23 Dec
Mercedes -Benz CFAO Motors yakabidhi malori 15 kwa kampuni ya mizigo SIGNON
Meneja Mauzo wa Maroli ya Mercedes Benz (CFAO MOTORS), Bw Jerome Sentmea (kushoto), akimkabidhi mfano wa ufunguo wa gari Mkurungenzi wa Kampuni ya Usafirishaji mizigo (SIGNON), Bw Daniel Kiyan,malori 15 yamekabidhiwa kwa Mkurugenzi huyo kwaajili yakusafirishia mizigo wengine wanaoshuhudia (katikati), Afisa Mauzo wa Cfao Motors Bi Manka Oriyo, na wakwanza kulia Afisa Masoko na Huduma Cfao Motors Bi Angelina Ndege makabidhiano hayo yalifanyika makao makuu ya ofsi ya MERCEDES BENZ CFAO MOTORS...
11 years ago
Dewji Blog09 Jun
CFAO Motors yaanzisha huduma mpya kwa wamiliki wa malori ya Mercedes Benz nchini
Msimamizi wa ufundi wa Magari aina ya Mercedes Benz kutoka kampuni ya CFAO Motors Bw. Winner Mushi (wa tatu kushoto) akionyesha matumizi ya kifaa maalum cha ukaguzi wa Malori ya Mercedes Benz (Star Diagnosis Machine) kwa baadhi ya mafundi na wasimamizi wa ufundi wa magari ya kampuni ya Bakhresa Group.
Bakhresa Group ni mmoja wapo wa wateja wa CFAO Motors ambao wanamiliki malori ya Mercedes Benz. Bw. Heico Herzog Mtaalamu wa ufundi (Flying Doctor) kutoka Mercedes Benz Ujerumani,(wa tatu...
10 years ago
Dewji Blog05 Mar
CFAO MOTORS waifikisha kwa mara ya kwanza Mercedes Benz GCL Class jijini Arusha
Mkurugenzi wa kampuni ya kuagiza, kuuza na kutengeneza magari ya Arusha Arts, Gunvant Sachev (kushoto) akipokea tuzo ya uwakala bora katika kuuza vipuri na magari aina ya Mercedes Benz kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa kampuni ya CFAO Motors, Wayne McIntosh (wapili kushoto) wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa gari aina ya Mercedes Benz GCL Class jijini Arusha ikiwa ni mara ya kwanza gari hiyo kuingizwa jijini Arusha.
10 years ago
VijimamboCFAO MOTORS WAIFIKISHA KWA MARA YA KWANZA MERCEDECE BENZ GCL CLAA JIJINI ARUSHA

11 years ago
Michuzi
Menejimenti ilikosea kutoa msamaha wa kodi kwa Kampuni ya Jaffar Mohamed Ali Garage na Kampuni Quality Motors - Charles Ekerege

MKURUGENZI wa Shirika la Viwango Nchini (TBS), Charles Ekerege, amekiri mahakamani kwamba Menejimenti ilikosea kutoa msamaha wa kodi kwa Kampuni ya Jaffar Mohamed Ali Garage na Kampuni Quality Motors na hivyo, na kwamba Bodi ya Wakurugenzi ilitoa onyo kali na kuitaka isirudie kosa hilo.
Aidha, ameeleza kuwa hakutoa msamaha huo yeye binafsi bali menejimenti iliyoketi chini ya wakuu wa idara sita za shirika hilo ilipitisha na kwamba kutokana na kampuni hizo mbili...
10 years ago
AllAfrica.Com21 Sep
Church Invites General Public to Hold Prayers Prior to General Election
AllAfrica.com
The public has been invited to participate in praying for the nation prior to the forthcoming general election in October. In a press conference yesterday in Dar es Salaam, Moravian Church in Tanzania, Eastern Province-Uhuru Congregation Senior Pastor ...
11 years ago
Michuzi06 Oct