George Floyd: Trump asema kambi za kijeshi zenye majina ya majenerali waliotukuza utumwa ni turathi ya Marekani.
Rais wa Marekani Donld Trump anasema kwamba hana mpango wa kubadilisha majina ya kambi za kijeshi zilizotajwa baada ya majenerali walioongoza jeshi la Marekani.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili10 Jun
George Floyd: Sanamu zilizotukuza biashara ya utumwa Marekani na Ulaya zaharibiwa
Sanamu zimekuwa zikivunjwa na kuharibiwa, kama ishara ya kutaka kusahau ''dhulma'' za kihistoria.
5 years ago
BBCSwahili04 Jun
George Floyd: Trump ashutumiwa kugawanya Wamarekani huku maafisa wanaouhishwa na kifo cha Floyd wakishtakiwa tena
Aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa Marekani James Mattis amemshutumu Rais Donald Trump, kwa kuleta mgawanyiko na kutumia vibaya mamlaka yake.
5 years ago
BBCSwahili07 Jun
George Floyd: Je, Trump ameiwezeshaje jamii ya watu weusi ?
Rais Trump asema amefanya mengi kwa jamii ya watu weusi kuliko rais mwingine yeyote katika historia ya Marekani. Je, madai hayo ni kweli?
5 years ago
BBCSwahili04 Jun
George Floyd: Kwanini baadhi ya viongozi wa kidini Washington wamekasirishwa na Trump kutumia Biblia?
Siku chache baada ya Rais Trump kuonekana amesimama mbele ya kanisa la St John Episcopal akiwa ameshikilia bibilia, zaidi ya viongozi 20 wa makanisa kutoka Washington na maeneo yaliyo karibu wamepinga kile alichokifanya.
5 years ago
BBCSwahili02 Jun
George Floyd: Sababu 4 zilizofanya kifo cha M'marekani mweusi kusababisha maandamano makubwa Marekani
Wakati Donald Trump alipotoa onyo lake , pengine hakufikiria kwamba atalazimika kuishi na hali ngumu kama inayoendeelea nchini Marekani.
5 years ago
CCM Blog06 Jun
TRUMP AFICHWA KATIKA HANDAKI KUHOFIA MAANDAMANO YA KIFO CHA MMAREKANI MWEUSI GEORGE FLOYD.
![Usalama umeimarishwa katika Ikulu ya Whitehouse katika siku za hivi karibuni](https://ichef.bbci.co.uk/news/660/cpsprodpb/166E1/production/_112737819_433de1ea-9b4c-4d2b-a692-13abafeae66d.jpg)
5 years ago
BBCSwahili12 Jun
Kifo cha George Floyd : Jenerali Mark Milley aomba msamaha kwa 'kuenda' kanisani na Trump
Jenerali G Mark Milley alikuwa miongoni mwa viongozi walioenda na rais kanisani baada waandamanaji kutawanywa ili apate nafasi ya kupiga picha.
5 years ago
BBCSwahili03 Jun
George Floyd: Ulimwengu unavyofuatilia matukio nchini Marekani
Mataifa duniani yamekuwa yakifuatilia kwa mshangao matukio yanayoendelea nchini Marekani kufuatia maandamano ya ghasia yaliochochewa na - kifo cha George Floyd, mtu mweusi aliyefariki baada ya polisi mweupe kumzuilia chini kwa kutumia goti lake kwenye shingo hadi akashindwa kupumua.
5 years ago
BBCSwahili07 Jun
George Floyd: Maandamano makubwa ya kupinga ubaguzi yafanyika Marekani
Maandamano makubwa ya amani yamefanyika kote nchini Marekani kupinga ubaguzi wa rangi na unyanyasaji unaotekelezwa na maafisa wa polisi ikiwa ni siku ya 12 ya maandamano
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania