GGM wamteua Lady Jaydee kuwa balozi wa Kili Challenge
Makamu wa Rais wa Kampuni ya Geita Gold Mine (GGM), Simon Shayo, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uteuzi wa balozi wa kampeni ya Kili Challenge, kulia kwake ni Afisa mawasiliano wa kampuni hiyo, Tenga Tenga na kushoto kwake ni Balozi mpya wa kampeni hiyo, Judith Wambura – Lady Jaydee na Mwenyekiti wa TACAIDS, Dk. Fatma Mrisho.
Balozi wa kampeni ya Kili Challenge, Judith Wambura – Lady Jaydee akizungumza na waandishi wa habari kuhusu kampeni hiyo inayolenga...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
TheCitizen06 Jul
GGM promised Sh1.2bn for Kili HIV/Aids challenge
10 years ago
Dewji Blog12 Jul
GGM Kili Challenge takes 38 Climbers to Uhuru Peak in the Fight Against HIV/AIDS
![3](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/07/313.jpg)
10 years ago
GPLGGM KILI CHALLENGE TAKES 38 CLIMBERS TO UHURU PEAK IN THE FIGHT AGAINST HIV/AIDS
10 years ago
Dewji Blog24 Nov
Kuwa wa kwanza kusikiliza single mpya ya Lady Jaydee ft DABO — Forever humu
Hii ndio single mpya ya Lady Jaydee aliyomshirikisha Dabo inayoitwa “Forever”. Hii ni baada ya Kimya cha muda mrefu kidogo na siku ya Ijumaa ndio itakuwa official video launch day pale M.O.G bar & Restaurant. Wimbo umetayarishwa na producer mahiri Man Water wa Combination Sounds, na video ya wimbo huo imefanywa na muongozaji mkongwe Adam Juma wa Next Level.
Instagram: @jidejaydee @dabomtanzania
Twitter: @jidejaydee @dabomtanzania
10 years ago
Dewji Blog10 Apr
Kuwa wa kwanza kusikiliza wimbo mpya wa Lady jaydee Ft Mazet & Uhuru “Give me love” hapa
Artist:Lady jaydee Ft Mazet&Uhuru
Song: Give me love
Producer:Uhuru
Support Jaydee, Support Our Own
10 years ago
Bongo531 Aug
Lady Jaydee ajibu habari ya gazeti la udaku kuwa na uhusiano na ‘Dogo Dogo’
10 years ago
VijimamboLady Jaydee - Forever (New Single)
Instagram: @jidejaydee @dabomtanzania
Twitter: @jidejaydee @dabomtanzania
9 years ago
Michuzi01 Dec
Lady JayDee Ndani ya London
![Bango la shoo ya 5 Desemba 2015](https://kitoto.files.wordpress.com/2015/12/bango-la-shoo-ya-5-desemba-2015.jpg)
10 years ago
Mtanzania15 May
Mwasiti: Lady Jaydee ananivutia
NA RHOBI CHACHA
MWASITI Almas kama anavyofahamika katika muziki wa Bongo Fleva, ameibuka na kudai kwamba anavutiwa zaidi na msanii mwenzake, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’.
Msanii huyo mwenye sauti nzuri katika nyimbo zake, alisema yeye ni msanii anayevutiwa na wasanii wanaojitambua na wanaofanya vema katika kazi zao za muziki, kama afanyavyo Jaydee ‘Binti Machozi’.
“Yaani mimi huwa sina choyo ya kusifia kama msanii mwenzangu anafanya vema namsifia, sijali nani atasema nini, napenda kazi za...
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10