Gharama upimaji sampuli za dhahabu zapungua
WAKALA wa Jiolojia Tanzania (GST), umefanikiwa kupunguza gharama za upimaji wa sampuli za dhahabu katika maabara yake baada ya kufanikiwa kwa asilimia 100 kuweza kutengeneza vikombe vya kupimia sampuli ndani ya maabara iliyoko mkoani Dodoma.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Oct
Teknolojia ya upimaji dhahabu inayozuia utapeli
Kwa miaka kadhaa baadhi ya Watanzania wamekuwa wakitapeliwa kwa kuuziwa bidhaa bandia za dhahabu au zilizo chini ya kiwango.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-6Fzl4J5n_uQ/U0FZ4d3eewI/AAAAAAAAS00/_9skPByj8Xg/s72-c/01.jpg)
BRIEN HOLDEN YAZINDUA HUDUMA YA UPIMAJI MACHO NA UTOAJI MIWANI KWA GHARAMA NAFUU
![](http://1.bp.blogspot.com/-6Fzl4J5n_uQ/U0FZ4d3eewI/AAAAAAAAS00/_9skPByj8Xg/s1600/01.jpg)
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-6Fzl4J5n_uQ/U0FZ4d3eewI/AAAAAAAAS00/_9skPByj8Xg/s1600/01.jpg)
BRIEN HOLDEN YAZINDUA HUDUMA YA UPIMAJI MACHO NA UTOAJI MIWANI KWA GHARAMA NAFUU
Mwakilishi wa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, Fulgens Lisakatu (katikati) akiakata utepe kuashiria uzinduzi wa miwani ya Kibo ambayo itamuwezesha Mtanzania yeyote kuweza kupima macho na kupewa miwani kwa gharama nafuu, (wa pili kulia ) ni Rasi wa Chama cha wataalamu wa macho nchini (TOA), Frank Magupa (wa pili kushoto) ni Ofisa Mkazi wa Shirika la Brien Holden Vision Institute hapa nchini Eden...
11 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-DEFPgkK4ciQ/Uz1P0A2uz5I/AAAAAAAASwg/-9MZJGiNpTE/s1600/2.jpg)
TAASISI YA BRIEN HOLDEN KUZINDUA HUDUMA YA UPIMAJI MACHO NA UTOAJI MIWANI KWA GHARAMA NAFUU
Ofisa Mkazi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Brien Holden Vision, Eden Mashayo akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam jana kuhisina na uzinduzi wa upimaji macho utakao fanyika Dar es Slaam free market mkabala na kituo cha DSTV, Kinondoni jijini Dr es Salaam. Kushoto ni Mratibu mradi huo Violet Shirima. Â Ofisa Mkazi wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Brien Holden Vision, Eden Mashayo akionesha miwani...
11 years ago
Tanzania Daima16 Jan
Ajali za barabarani zapungua 2013
IDADI ya ajali za barabarani na vifo, imepungua kutoka watu 157 mwaka 2012 hadi watu 123 mwaka jana mkoani hapa. Kwa mujibu wa takwimu za Jeshi la Polisi Mkoa wa...
10 years ago
BBCSwahili27 Nov
Shughuli za ukataji miti Amazon zapungua
Serikali ya Brazil inasema shughuli za ukataji miti katika msitu mkubwa wa Amazon, zimepungua kwa asilimia 18 mwaka uliopita.
10 years ago
Vijimambo05 Jan
AJALI ZA BARABARANI ZAPUNGUA-KAMANDA MPINGAâ€
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Kamanda Mohammed Mpinga amesema katika mahojiano maalum kuwa madereva wameanza kuelewa kuwa tabia ya kuongea na simu au kutuma na kupokea ujumbe wa maneno (SMS) wanapokuwa...
10 years ago
GPLAJALI ZA BARABARANI ZAPUNGUA-KAMANDA MPINGA
Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Kamanda Mohammed Mpinga(kulia)akiongea na waandishi wa habari hivi karibuni kuhusiana na maswala ya usalama barabarani,anaeshuhudia kushoto Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia. Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Kamanda Mohammed Mpinga amesema katika mahojiano maalum kuwa madereva wameanza kuelewa kuwa tabia ya kuongea...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania