Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Teknolojia ya upimaji dhahabu inayozuia utapeli

Kwa miaka kadhaa baadhi ya Watanzania wamekuwa wakitapeliwa kwa kuuziwa bidhaa bandia za dhahabu au zilizo chini ya kiwango.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Gharama upimaji sampuli za dhahabu zapungua

WAKALA wa Jiolojia Tanzania (GST), umefanikiwa kupunguza gharama za upimaji wa sampuli za dhahabu katika maabara yake baada ya kufanikiwa kwa asilimia 100 kuweza kutengeneza vikombe vya kupimia sampuli ndani ya maabara iliyoko mkoani Dodoma.

 

5 years ago

BBCSwahili

Berzosertib: Dawa mpya ya saratani inayozuia uvimbe yawapatia matumaini wagonjwa

Dawa inayoweza kuzuia seli za saratani kujikarabati zenyewe imeonesha ishara za mapema za kufanya kazi.

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

MASOGANGE NA SKENDO YA UTAPELI

Stori: Imelda Mtema
VIDEO Queen matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amefungua mdomo wake na kuwaka kuwa anachukizwa na tabia ya baadhi ya watu ambao wanatumia jina lake kutapeli kwenye mtandao wa kijamii wa Facebook.Akizungumza na mwanahabari wetu,  Masogange alisema kuwa watu wanaotumia jina lake wakome Video Queen matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’. kwa sababu wanamjengea hisia tofauti...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Jihadhari na utapeli huu

KUNDI la matapeli limeibuka na kuwaliza mamilioni ya fedha watu wanaosaka ajira nchini, Tanzania Daima limebaini. Matapeli hao hujifanya maofisa wa baadhi ya ofisi za umma ambao hutangaza kwamba kuna...

 

10 years ago

BBCSwahili

Utapeli mtandaoni washamiri Ghana

vijanawenye Umri wa chini ya miaka thelathini. Wanaendesha magari ya kifahari na mavazi ya bei kali.

 

10 years ago

GPL

MUUMINI AFUNGULIWA KESI YA UTAPELI

Mkurugenzi wa Bendi ya Double M Sound,  Muumini Mwinjuma ‘Kocha wa Dunia’. Shani Ramadhani
MKURUGENZI wa Bendi ya Double M Sound, Mwinjuma Muumini ‘Kocha wa Dunia’, amefunguliwa kesi kwa jalada namba; NJ/RB/4150/2014 madai KUTOKUWEPO ENEO LA TUKIO na kukiuka masharti ya mkataba ya kufanya shoo mkoani Njombe. Mwandaaji wa shoo hiyo iliyofanyikia Ukumbi wa Day to Day, Sylvia Mwakkikufi akizungumza na...

 

10 years ago

GPL

ROSE MUHANDO KWA UTAPELI TOO MUCH!

Stori:  Mwandishi Wetu, IRINGA
LILE jinamizi la kupokea fedha kwa ajili ya kushiriki tamasha la kuimba nyimbo za Injili kisha kutotokea siku ya tukio linazidi kumwandama nyota wa muziki huo nchini, Rose Athuman Muhando, safari hii akidaiwa kumliza tena mtu, Ijumaa Wikienda lina kesi hiyo mkononi. Nyota wa muziki huo nchini, Rose Athuman Muhando. Kwa mujibu wa chanzo makini cha ndani, safari hii ameendelea kupokea fedha...

 

10 years ago

Mwananchi

Utapeli ‘mkutano wa Ukawa, CCM’

Mkutano wa maridhiano uliokuwa umepagwa kufanyika jana mjini hapa kati ya CCM na Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) umeshindikana huku mwandaaji akitapeliwa Sh400,000.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani