Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GLOBAL EDUCTION LINK (GEL) YAZIDI KUPATA MAFANIKIO YA KUSAFIRISHA WANANFUNZI WAPATAO 70 NCHINI CHINA

Mapema jana Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi waliweza kusafirisha wanafunzi wapatao 70 kwenda nchini China kwa ajili ya masoma. Akizungumza Mkurugeni wa GEL, Abdulmaliki Mollel alisema kuwa wanamshukru Mungu kwa kuendelea kuwafungulia milango ya kuendelea kupokea wanafunzi wanaopenda kusoma vyuo nje ya nchi. Pichani: inawaonyesha  wakiwa tayari katika mstari wa kukaguliwa ili waweze kuanza safari yao ya kwenda nchini China kimasomo.          ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Global Education Link (GEL) yazidi kupata mafanikio ya kusafirisha wananfunzi wapatao 70 nchini China

IMG_2121

IMG_2144

Mapema jana Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi waliweza kusafirisha wanafunzi wapatao 70 kwenda nchini China kwa ajili ya masoma. Akizungumza Mkurugeni wa GEL, Abdulmaliki Mollel alisema kuwa wanamshukru Mungu kwa kuendelea kuwafungulia milango ya kuendelea kupokea wanafunzi wanaopenda kusoma vyuo nje ya nchi.

Pichani: inawaonyesha  wakiwa tayari katika mstari wa kukaguliwa ili waweze kuanza safari yao ya kwenda nchini China kimasomo.

IMG_2138

Mzazi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Global Education Link (GEL) yapeleka wanafunzi 65 kusoma vyuo vikuu nchini China

 Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Global Education Link (GEL), Abdulmalik Mollel akiwa ameambatana na wafanyakazi wa kampuni hiyo kwa ajili ya kuwasindikiza wanafunzi wanaokwenda kusoma vyuo vikuu nchini China mapema jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam.

 Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya Global education link (GEL) Abdulmalik Mollel akiwaita majina wanafunzi wanaokwenda kusoma vyuo vikuu nchini China mapema jana katika Uwanja...

 

9 years ago

Michuzi

GLOBAL EDUCATION LINK (GEL) YASAFILISHA WANAFUNZI KWENDA KUSOMA NCHINI INDIA

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi, Abdulmalik Mollel akiwa ameambatana na wafanyakazi wa kampuni hiyo kuwasindikiza wanafunzi 30 wanaokwenda kusoma nchini India jana Agosti 21, 2015 katika Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam.  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi, Abdulmalik Mollel akiwaita majina wanafunzi...

 

9 years ago

Dewji Blog

Global Education Link (GEL) yasafirisha wanafunzi kwenda kusoma nchini India

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi, Abdulmalik Mollel akiwa ameambatana na wafanyakazi wa kampuni hiyo kuwasindikiza wanafunzi 30 wanaokwenda kusoma nchini India Agosti 21, 2015 katika Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jijini Dar es Salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Education Link (GEL) ambao ni wakala wa vyuo vya nje ya nchi, Abdulmalik Mollel akiwaita majina wanafunzi waliokuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

TEMBELEA OFISI YA GLOBAL EDUCATION LINK (GEL) ILIYOPO SABA SABA UJIPATIE NAFASI YA KUSOMA CHUO NJE YA NCHI

Muonekano wa Ofisi ya Global Education Link iliyopo ndani ya viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam.Msimamizi wa Masoko wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya nchi, Bw. Haroun Weggoro akihudumia wateja waliohudhuria katika ofisi yao iliyopo iliyopo maonyesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara, Sabasaba yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julias Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.

Afisa Masoko wa Global Education Link ambao ni Mawakala wa Vyuo Vya Nje ya...

 

10 years ago

Michuzi

BENKI M YAZIDI KUPATA MAFANIKIO, RIPOTI YA FEDHA YA ROBO YA PILI YA MWAKA YATOLEWA

Benki M, inayojulikana kimataifa na ambayo ipo katika benki 10 kubwa hapa nchini, imepata faida ya zaidi ya asilimia 25 katika faida kabla ya kodi kwenye nusu ya kwanza ya mwaka huu ikilinganishwa na kipindi kama hicho mwaka jana. 
Benki hiyo ambayo hivi karibuni ilijipatia tuzo ya Benki bora ya biashara Tanzania kwa mwaka 2015 iliyotolewa na International Banker nchini Uingereza, imepata faida kufikia Tshs. 11.51Billioni kabla ya kodi katika miezi sita ya mwanzo wa mwaka...

 

5 years ago

Michuzi

Idadi ya watu waliofariki dunia kutokana na COVID-19 nchini Italia yazidi ile ya China

Serikali ya Italia ilitangaza jana usiku kwamba idadi ya watu walioaga dunia kutokana na ugonjwa wa COVID-19 (corona) nchini humo imefikia 3,405.

Taarifa iliyotolewa na serikali ya Italia imesema kuwa kesi nyingine mpya za maambukizi ya watu 5322 pia zilisajiliwa katika masaa 24 yaliyopita nchini humo na kuongeza kuwa, hadi kufikia jana jioni watu 41,035 walikuwa wameambukizwa virusi vya corona.

Takwimu hizo za kufariki dunia watu 3,405 nchini Italia kutokana na virusi vya corona zinaonyesha...

 

10 years ago

East African Business Week

Tanzania celebrates 50 year link with China


East African Business Week
Tanzania celebrates 50 year link with China
East African Business Week
SOLIDARITY: When President Julius Nyerere hosted Zhou Enlai's in 1965 it was considered a historic chapter of China-Tanzania friendship. DAR ES SALAAM, Tanzania – The government has praised the 50 years of partnership established in 1965 with the ...

 

11 years ago

Dewji Blog

Global Education Link kusaidia mikopo vyuo vikuu

IMG_7289

Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya Global Education Link (GEL), Abdumaliki Molle.

Na Mwandishi wetu

TAASISI ya Global Education Link (GEL), inayojishughulisha na masuala ya elimu ya juu, imesema ipo tayari kutoa mikopo kwa wazazi na walezi wanaohitaji watoto wao kwenda kusoma vyuo vikuu nje ya nchi, ili kuwezesha vijana kuingia katika soko la ajira duniani.

Kauli hiyo imetolewa juzi na Mkurugenzi wa Udahiri wa taasisi hiyo, Zakiah Nassoro, alipozungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani