Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GODFREY MGIMWA AANZA KUPANGUA MAKOMBORA YA CHADEMA ADAI YEYE NI RAIA MZALENDO WA TANZANIA

Mgimwa wa pili kulia, akifurahi pamoja na wana CCM wenzake, siku ya kwanza ya kampeni zake kuwania ubunge jimbo la Kalenga iliyofanyika katika kijiji cha Mseke  -------------------------------- Na Francis Godwin
MGOMBEA ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa amesema hana chembechembe yoyote ya uzungu na amekishangaa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kwa kumtuhumu kwamba sio mtanzania..
"Kama kila mtanzania anayekwenda nje ya nchi kusoma anapoteza...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

GODFREY MGIMWA AWAOMBA WANAKALENGA KUMKOPESHA IMANI, YEYE ATAWALIPA MAENDELEO KALENGA‏

Mgombea ubunge wa jimbo la Kalenga kupitia chama cha Mapinduzi CCM Bw. Godfrey Mgimwa akiwahutubia wananchi katika kijiji cha Ilandutwa kata ya Mgama Iringa vijijini akiendelea na mikutano mbalimbali ya kampeni ambapo amewaomba wananchi wa vijiji hivyo kumkopesha imani yao na kumpa kura za ndiyo siku ya Machi 16 Jumapili ijayo ili aweze kuwalipa maendeleo katika jimbo hilo.   Mgombea ubunge wa… ...

 

10 years ago

GPL

MBUNGE GODFREY MGIMWA ASEMA AMETUMIA ZAIDI YA TSH MILIONI 68 KWA MIENZI MITATU YA UBUNGE WAKE KUTEKELEZA AHADI 90 ZA MBUNGE WA KALENGA ALIYEFARIKI DUNIA DR WILIAM MGIMWA‏

Mbunge wa  jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa  (kulia) akikabidhi ahadi ya bati 100 alizokuwa ameziahidi mbunge aliyepita marehemu Dr. Wiliam Mgimwa kwa  viongozi wa kijiji cha Mangalali kwa ajili ya ujenzi  wa vyumba vya madarasa  shule ya msingi Lukwambe hadi  sasa ni asilimia 90 ya ahadi binafsi za mbunge aliyefariki  zimetekelezwa jimbo la Kalenga na mbunge Mgimwa…
...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Barua ya wazi kwa Godfrey Mgimwa

BWANA mdogo Godfrey William Mgimwa, Kwanza nina kusalimu kwa kusema, habari za kampeni dogo? Baada ya kusoma mahali ambapo ulikaririwa ukisema kuwa unataka kuwaletea maendeleo watu wa Kalenga ambao baba...

 

11 years ago

GPL

JERRY SILAA AMPIGIA DEBE GODFREY MGIMWA

  Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala na mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Bw. Jerry Silaa akihutubia katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kijiji cha Ibumila kata ya Mgama, jana. Jerry…

 

11 years ago

Michuzi

GODFREY MGIMWA AENDELEA NA KAMPENI TOSAMAGANGA NA KALENGA LEO

mgombea wa Ubunge jimbo la Kalenga kupitia tiketi ya CCM Ndugu Godfrey Mgimwa akinadi sera zake kwa wakazi wa kitongoji cha Tosamaganga wakati wa kampeni zake,zilizoendelea leo.  Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Ndugu Jesca Msambatavangu akihutubia wakazi wa kitongoji cha Tosamaganga wakati wa kampeni za kumnadi mgombea wa Ubunge jimbo la Kalenga kupitia tiketi ya CCM Ndugu Godfrey Mgimwa ambapo aliwaambia wananchi hao tutafute viongozi wa mfano wa Kitanzania ambao hawatatuchonganisha...

 

11 years ago

Michuzi

GODFREY MGIMWA AKABIDHIWA HATI YAKE YA KUWA MBUNGE

 mshindi wa jimbo la kalenga Godfrey Mgimwa akiwa na mke wake Robby Mgimwa wakifurahia hati aliyokabidhiwa ya kuwa mbunge.  Godfrey Mgimwa akiwa anafurahia ushindi katikati Mwenyekiti wa ccm mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Iringa vijiji mama Mtavilalo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani