Good Timing? Ali Kiba aonjesha kava la single yake mpya
Ali Kiba anakuja tena!!! Baada ya kusubiriwa kwa takriban miaka miwili, hitmaker huyo wa ‘Dushelele’, anatarajia kuachia ngoma mpya siku chache zijazo. Picha za kava linaloonekana kuwa ni la ngoma yake hiyo zimeenza kuonekana Jumatatu hii kwenye mtandao wa Instagram. Ali Kiba ataachia ngoma hiyo katika kipindi ambacho amemake headlines kutokana na kauli iliyomlenga Diamond […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Bongo520 Jul
Young Killer afunga ndoa ….. kwenye kava la single mpya ‘Umebadilika’
10 years ago
Dewji Blog22 Dec
Ali Kiba azindua Video yake mpya “MWANA” kua wa kwanza kuiona hapa
Akiwa ana nyimbo za “Mwana” na “Kimasomaso” zikiongoza katika vituo mbali mbali Africa, Alikiba aachia video ya “Mwana” iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu jana ,Ijumaa tarehe 19 Decemba 2014 kwa mamilioni ya mashabiki Africa na duniani. “Mwana” ni nyimbo ya kwanza baada ya kufunga mkataba wake na kampuni ya Rockstar4000 Management na Rockstar Publishing.
Rekodi ya “Mwana” ni nyimbo ya kwanza kutoka kwenye albamu ya tatu ya Alikiba baada ya kutokuwa katika muziki kwa muda wa miaka mitatu....
9 years ago
Bongo512 Oct
Teaser: Alikiba aonjesha collabo yake mpya na Christian Bella ‘Nagharamia’ (Audio)
9 years ago
BBCSwahili14 Dec
Ali Kiba asimulia maisha yake ya usanii
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-AukNDu2iY-8/ViEYSqtCE8I/AAAAAAAEBhQ/uLbyE7U9AQk/s72-c/2alikiba-1.jpg)
10 years ago
Bongo522 Dec
Picha: Samantha (Hotshots) abariki kava la single ya msanii wa Tanzania
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/jCLoXFxId_E/default.jpg)
10 years ago
Bongo523 Sep
Video: Iyanya aonjesha kipande cha video yake mpya ‘Mr Oreo’ inayotoka leo (Sept 23), tazama BTS