GQ Stylish: Kanye West awaburuza akina Tyga, Mario Balloteli, Jay-Z….
Rapa Kanye West
Rapa Kanye West ametajwa kuwa GQ Most Stylish Man of 2015. Hii imekuwa mara ya pili mfululizo kwa Kanye West kupewa tuzo hii.
Mastaa aliyokuwa akichuana nao.
Kanye West aliandika hivi “Thank you GQ and to everyone who voted, it’s been an amazing year!!!”
Staili mpya ya viatu aina ya ‘Yeezy Boosts’ vya Kanye
Kanye West ameshinda tuzo hii baada ya mashabiki kupiga kura na Kanye West amewashinda wanamitindo wa kiume kama Lucky Blue Smith , rapa Jay Z, Tyga, Mario Balloteli na...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
9 years ago
BBCSwahili08 Dec
Mtoto wa Kim na Kanye West aitwa Saint West
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*pNsFM6VE6DEaqKvec6vgoDUPMQwwDxXvvyYlzdoogV6U4Z0XoG6e3CplKbIs1aDfMe5RjNngvDLifV8-XN*1Cf/2.jpg?width=650)
BEYONCE, JAY Z WAIKACHA NDOA YA KANYE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KhKaa56BSVUmkSPKUd140T3EDRwyMw0tXzmVOa*fafNGSi8Se*Lzm27nlU45Aq3G1dXHiohZ9xCzf9-GfD9bII3d5MS2TMhF/HARUSI20.jpg?width=650)
HARUSI YA KANYE WEST KUFURU
10 years ago
BBCSwahili09 Apr
Kanye West aomba Msamaha
9 years ago
Bongo520 Oct
Music: Kanye West — When I See It’ + ‘Say You Will (Remix)
9 years ago
Bongo501 Oct
Music: The Game Ft. Kanye West — Mula
9 years ago
Mtanzania01 Sep
Kanye West kuwania urais 2020
NEW YORK, Marekani
NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Kanye West, ametangaza nia ya kuwania urais wa nchi hiyo mwaka 2020.
Msanii huyo aliweka wazi mpango wake huo wakati wa utoaji wa tuzo za VMA ‘MTV Video Muzic’ nchini humo huku akiamini kuwa kutangaza huko ni maamuzi magumu kwake.
Alipojinadi alidai ana uhakika ataingia Ikulu ya Marekani yeye na mkewe mwanamitindo, Kim Kardashian.
“Natangaza rasmi kuwa mwaka 2020 nitajitupa katika kinyang’any’iro cha kuwania urais kwa imani kubwa...
9 years ago
Mtanzania14 Dec
Kanye West kumzawadia mwanaye wimbo
BAADA ya Kanye West na mke wake Kim Kardashian, kufanikiwa kupata mtoto wa kiume ambaye amepewa jina la Saint West, msanii ameamua kuumiza kichwa kwa ajili ya kumpa zawadi ya wimbo mtoto huyo.
Kwa sasa mtoto huyo amekuwa akitajwa sana katika mitandao ya kijamii kutokana na umaarufu wa baba na mama yake, lakini Kanye West amesema anatarajia kuachia wimbo mkali ambao utakuwa ni zawadi kwa mtoto huyo.
“Mungu ametupatia zawaidi ya mtoto mwingine, lakini na mimi ninataka kumpa zawadi ya wimbo...