Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HABARI NDIYO HII BAADA YA WANAUME KUONEWA NA WAKE ZAO HUKO NYERI KENYA WAPATA SULUWISHO


IMG_3210 from NY Ebra on Vimeo.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HABARI NDIYO HII HUKO CHINA



Kijàna wa kichina amekamatwa akijaribu kuvusha cm latest zaidi ya 90 iPhone 6 Alizibandika mwilini mwake. Walimgundua alikua anashindwa kutembea vizuriAmekamatiwa Futian port Imigration point btwn China and Hongkong.

 

11 years ago

Vijimambo

KAMA ULIKUWA UJUHI HABARI NDIYO HII HUKO BONGO MJINI

 Shida ya foleni kati ya Airport na City Centre kuisha?? Cheki treni mpya hiyo yenye uwezo wa kubeba abiria 800-1000. Tutaiweza kweli?

 

10 years ago

Vijimambo

LUPITA NYONG'O BAADA YA KUMMWAGA K'NAAN HABARI NDIYO HII

Hii ndiyo mara ya mwisho kuonekana kama couples Lupita na K'naan ilikuwa Nov 2014 walivyopigwa picha hii wakitoka dina New York City, nyatu nyatu zinasema Lupita kashamtema K'naan na sasa yupo na Jared Leto.Side by side: While in the wings of the awards show, the Thirty Seconds To Mars singer put his arm around the NYU educated beautyJared Leto akiwa zero distance mkono kiunoni mwa Lupita kwenye award za SAG zilizofanyika jumapili na Lupita kupa moja za award hizo.

Habari ndiyo hiyo K'naan abakie kuwa mpole tu kiroho safi Jared Leto full kicheko.

 

11 years ago

Vijimambo

MDOGO WAKE DIAMOND HII NDIYO HABARI YA MUJINI



Kila kitu saa ni Oficial mdogo wake Diamond Esma na Petitman hii ndiyo habari ya mujini wamesha funga ndoa sasa ni kupika na kupakuwa kwa nafasi hile kiroho safi.Meneja wa msanii, Mirror na mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, Petit Man ambaye awali alidaiwa kuwa na uhusiano na Kajala, kisha kuwa na mdogo wake Vanessa Mdee, amethibitisha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na dada yake Diamond Platnumz, Esma na kwamba ana mipango ya kufunga naye ndoa.“Ni kweli Esma ni mchumba...

 

10 years ago

Vijimambo

YANGAYA KIMATAIFA BAADA YA MICHEZO YA LEO HII NDIYO HABARI MUJINI

Mtokea ya michezo ya leo ya ligi ya VPL na Kimataifa kwa timu ya wanawake Twiga Stars aka vitaulo.Timu ya simba imefikisha point 32 baada ya kushinda mechi yake ya Leo.Simba imeshinda goli 3-0 dhid ya Ruvu shooting...Magoli ya Simba yamefungwa na. Ibrahim Ajib dk ya 60 kwa penati, HawadhJuma, dk ya 61 na goli la 3 na elias Maguli dk ya 75.
COASTAL UNION YAPIGWA NA AZAMTimu ya Azam imeshinda 1_0 dhidi ya coastal union katika Uwanja waMkwakwani,Tanga.Goli la Azam FC lilifungwa na John boko...

 

10 years ago

Vijimambo

NG'ARI NG'ARI NDANI YA ZARI & DIAMOND WHITE PART HUKO MLIMANI CITY HABARI NDIYO HII


Muonekano ndani ya Mlimani City kunako Zari & Diamond white party inalindima usiku huu Licha ya mtonyo kuwa wanguvu lakini ticket ni sold out na watu wako nje labla kuna mtu atakuwa amedondosha yake na kuiokota.

Huddah BossyLady wa Kenya ndani ya nyumba full ng'aring'ari kiroho safi

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani