Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Habari njema!: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam sasa kusimamia sanaa

Kwa muda mrefu sasa, Tanzania imeonekana kukua katika nyanja mbalimbali za sanaa. Muziki wake umekuwa ukisikika katika mataifa mbalimbali duniani na hivyo kutoa nafasi hata kwa wasanii wake kwenda kufanya kazi huko.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

Familia ya Prof Cuthbert  Zebadia Kimambo wa Chuo Kikuu Dar es  Salaam inasikitika kutangaza kifo cha Mtoto wao mpendwa Samwel Cuthbert Kimambo (pichani) kilichotokea alfajiri ya leo tarehe 1 June 2014 kwa ajali ya gari.  Habari ziwafikie wana Kimambo wote popote pale walipo, wana Tarimo wote popote pale walipo; ndugu, jamaa na marafiki pamoja na wafanyakazi wote wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.   Mipango ya Mazishi inafanyika nyumbani kwa Baba wa Marehemu, Mtaa wa Kileleni, Nyumba namba...

 

9 years ago

Michuzi

PSPF YATOA MSAADA WA MAGODORO CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM

 Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam, (Anayeshughulikia masuala ya Utawala), Profesa David Mfinanga, (Watatu kushoto), akipeana mikono na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (watatu kulia), wakati akipokea msaada wa magodoro 118 yaliyotolea wan Mfuko huo kwenye hafla fupi iliyofanyika chuon I hapo, Agosti 24, 2015. Magodoro hayo ni kwa ajili ya wanafunzi walioathiriwa na mogto uliozuka kwenye bweni kitalu B kule hosteli za Mabibo, Aprili mwaka huu...

 

9 years ago

GPL

PSPF YATOA MSAADA WA MAGODORO CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM‏

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam, (Anayeshughulikia masuala ya Utawala), Profesa David Mfinanga, (Watatu kushoto), akipeana mikono na Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (watatu kulia), wakati akipokea msaada wa magodoro 118 yaliyotolea wan Mfuko huo kwenye hafla fupi iliyofanyika chuon I hapo, Agosti 24, 2015. Magodoro hayo ni kwa ajili ya wanafunzi walioathiriwa na mogto uliozuka...

 

11 years ago

Michuzi

MAMIA WAMUAGA ALIYEKUWA MHADHIRI MWANDAMIZI WA CHUO CHA UHASIBU DAR ES SALAAM(SASA TAASISI YA UHASIBU TANZANIA) JIJINI DAR ES SALAAM


Mwili wa Marehemu Sydney Damson ambaye aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo cha Uhasibu Dar es Salaam(sasa kikijulikana Taasisi ya Uhasibu Tanzania) ukiwasili nyumbani kwake Tandika Magorofani, Wilayani Temeke tayari kwa taratibu za kuaga kabla ya kwenda mazikoni.Mchungaji wa Kanisa la Moravian, Mchungaji Mwakalinga(kushoto) akiendesha Ibada Maalum ya kumuombea Marehemu Sydney Damson kabla ya zoezi la kuuaga mwili wa Marehemu kuanza nyumbani kwake Tandika Magorofani leo Julai 27, 2014 Temeke Jijini...

 

10 years ago

Michuzi

Mdau Meshack Ndoje alamba nondozz yake Chuo Kikuu cha Dar es salaam University

 Mdau Meshack Ndoje jana Novemba 15, 2014 kwenye mahafali ya arobaini na nne (44) ya chuo kikuu cha Dar es Salaam katika ukumbi wa mlimani city alikuwa ni mmoja wa walamba nondozz waliotunukiwa Nondozz zao,Mdau Meshack amelamba nondozzz ya Takwimu yaani B.A. Statistics.
Mdau Meshack Ndoje akiwa na baadhi ya ndugu zake waliofika kumsapoti kwenye mahafali hayo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wahamasisha utalii wa ndani kwa vitendo

Mnyama Ngiri akiwa amejipumzisha kwenye tope kama alivyokutwa na kamera yetu.

Baadhi ya Wanafunzi  wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM) wamefanya ziara ya siku mbili ya kitalii katika hifadhi ya taifa ya Saadani pamoja na sehemu ya kihistoria ya Kaole iliyopo Bagamoyo ikiwa ni sehemu ya kujifunza pamoja na kuhamasisha utalii wa ndani.

Wanafunzi hao kutoka katika “Collage” tofauti tofauti ikiwemo utalii, uchumi na biashara waliofanya ziara hiyo ikiwa chini ya mwamvuli wa University of Dar...

 

10 years ago

Michuzi

KUTOKA MAKTABA: DKT.JOHN J.P MAGUFULI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM 1985/1986

Kutoka Kushoto: Dkt.Abel Minani, Dkt.John P.J Magufuli na Dkt.John Kyaruzi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam muhula wa mwaka 1985/1986.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani