Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hafla ya Wabunge Wanawake yafana mjini Dodoma

PG4A5450

Spika wa Bunge Anne Makinda akisalimiana na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Asha Seif Ali Idi , Mkew wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda (wapili kushoto ) na Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu (kushoto) katika hafla ya wajumbe  Wanawake wa Bunge Maalum la Katiba iliyofanyika, Kilimani Dodoma, Aprili 4, 2014. Hafla hiyo iliandaliwa na Mama Tunu Pinda na Mama Asha Seif Ali Idi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

HAFLA YA KUWAPONGEZA WAJUMBE WA BUNGE MAALUMU LA KATIBA MJINI DODOMA

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa pamoja na Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda wakijumuika pamoja katika kulisakata rumba kwenye tafrija ya kukaribishwa kwa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Mjini Dodoma.   Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akiwa na Mke wa Mbunge wa Mpendae Mama Tamima Turky wakionyesha manjonjo yao katika mduara wa tafrija ya kuwakaribisha wabunge wa Bunge Maalum la Katiba wa CCM.  Raha iliyoje kwa Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda Kushoto, Mke...

 

11 years ago

Michuzi

Hafla ya kumuaga Askofu wa jimbo la katoliki Dodoma,Mhashamu Baba Askofu Gervas John Nyaisonga yafana sana

Mamia ya wakotiliki wamejitokeza kumuaga Askofu wa jimbo la katoliki Dodoma,Mhashamu Baba Askofu Gervas John Nyaisonga ambaye anahamia Mpanda kwa ajili ya kuendelea na kazi Dini.Sherehe hiyo iliyotanguliwa na Ibada ilifanyika katika Kanisa kuu la Mtakatifu Paulo wa Msalaba mkoani Dodoma.
Mgeni rasmi katika sherehe hiyo ambayo alikuwepo Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pina,alikuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki hapa nchini,Mwadhama Polcarp Kardinal Pengo. Pia sherere hiyo ilihudhuriwa na Askofu...

 

11 years ago

GPL

WIKI YA ELIMU YAFANA MJINI DODOMA

Askari wa Bend kutoka JKT wakiongoza maandamano ya wanafunzi wanaosoma katika shule mbalimbali za Mkoa wa Dodoma.Maandamano yaliyoanzia Viwanja vya kumbukumbu ya Mwl. Nyerere hadi Uwanja wa Jamhuri. Kikosi cha…

 

11 years ago

GPL

HAFLA YA KUMUAGA ASKOFU WA JIMBO LA KATOLIKI DODOMA,MHASHAMU BABA ASKOFU GERVAS JOHN NYAISONGA YAFANA SANA ‏

Kiongozi wa kanisa Katoliki hapa nchini Mwadhama Polcarp Kardinali Pengo (kulia) akipeana mkono na Askofu Gervas John Nyaisonga. Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda akibusu Pete ya Kiongozi wa kanisa Katoliki hapa nchini Mwadhama Polcarp Kardinali Pengo.…

 

11 years ago

Michuzi

Wiki ya Elimu yafana sana mjini mkoani Dodoma

Mamia ya wanafunzi kutoka shule mbali mbali za Mkoa wa Dodoma waliandamana kuanzia Uwanja wa kumbu kumbu ya Mwl. Nyerere kupita Barabara ya Nyerere hadi Uwanja wa Jamhuri katika maadhimisho ya siku ya Elimu hapa Nchini.Uzinduzi ambao ulifanywa rasmi na Waziri Mkuu Mhe.Mizengo Pinda katika Uwanja wa Jamhuri na kuhudhuriwa na mawaziri na manaibu wa Wizara zinazo shughulika na Elimu pamoja na wadau wa Elimu hapa Nchini. Picha na Deusdedit Moshi wa Michuzi Blog Kanda ya Kati Dodoma.04/05/2014

 

10 years ago

Michuzi

Mahafali ya tano ya chuo kikuu cha St. John's mjini Dodoma yafana sana leo

 Kushoto mkurugenzi wa Wateja wakubwa, Taasisi na mashirika wa benki ya CRDB Philip Alfred akiwakabidhi viongozi wa chuo kikuu cha Mtakatifu Yohana (St, John's) cha mjini Dodoma Mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 kwa ajili ya kuchangia maendeleo ya chuo hicho kilichopo chini ya kanisa la Anglican TanzaniaSehemu ya wahitimu kwenye mahafali hayo   Wahitimu wa kozi mbalimbali za chuo kikuu cha St, John's wakiwa katika mahafali ya tano ya chuo hicho yaliyofanyika mjini Dodoma.Baadhi ya...

 

10 years ago

Michuzi

WABUNGE WAPYA WAAPISHWA LEO MJINI DODOMA

Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Dkt. Grace Puja akila kiapo ndani ya Ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma leo Machi 27, 2015. Mbunge wa kuteuliwa Mhe. Innocent Sebba akila kiapo ndani ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma leo Machi 27, 2015.

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete alipohutubia Bunge na kuagana na Wabunge mjini Dodoma

HOTUBA YA KUAGANGA NA KUVUNJA BUNGE LA KUMI, 2015 – FINAL.doc

 Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman na ujumbe wake pamoja na maafisa wa bunge wakiingia Bungeni tayari kwa hotuba ya mwisho ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete mjini Dodoma Alhamisi Julai 9, 2015  Marais wastaafu Alhaji Ali Hassan Mwinyi na Mzee Benjamin William Mkapa na Mawaziri wakuu wastaafu Dkt Salim Ahmed Salim, Jaji Joseph Sinde Warioba, Mhe. Frederick Sumaye na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama na maafisa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani