HAKA KAUJUMBE KAMENIGUSA
"Hatukubali! ...fedha kuibwa halafu wezi wanaishia kujiuzulu tu"
Hatutakubali kula peremende. Tunataka bunge lisimamie uwajibikaji mkubwa. Haiwezekani mchezo huu wa kuiba fedha za wananchi unaendelea Tanzania halafu wezi wa fedha hizo wanaishia kujiuzulu tu..Hatukubali.
Lazima bunge lichukue uamuzi mgumu. Lazima waziri mkuu apumzike, Baraza la mawaziri livunjwe, serikali iundwe upya na isimamie jukumu la kuwapeleka mahakamani raia na viongozi wote waliohusika ama kufanikisha au kupokea mgao wa...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo01 Nov
HAKA KAUJUMBE KAMENIGUSA WE MWENZANGU VIPI UMESALIMIKA HUKO
Huo ni msemo wanao waingereza.
Today is your future kwa taarifa yako.. Ulipokuwa mdogo ulisema nikiwa mkubwa nitakuwa na gari na nyumba nzuri wazazi wangu wataishi hivi na vile. Je unayo? Je imetokea? Maybe yes. But maybe no.
Kama haijatokea je bado hujawa mkubwa? Basi kama ni mkubwa ujue kuna kitu hujafanya.
Utasema tena nikifika miaka 40 nataka niwe na hiki na kile watoto wangu wasome international skul nk. Subiri uone miaka inavyoenda. Usishangae...
10 years ago
Vijimambo10 years ago
Vijimambo15 Feb