Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KAUJUMBE KAKO KA VALENTINE HAKO HAPO JISIKILIZIE MWENYEWE

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HAKA KAUJUMBE KAMENIGUSA

"Hatukubali! ...fedha kuibwa halafu wezi wanaishia kujiuzulu tu"
Hatutakubali kula peremende. Tunataka bunge lisimamie uwajibikaji mkubwa. Haiwezekani mchezo huu wa kuiba fedha za wananchi unaendelea Tanzania halafu wezi wa fedha hizo wanaishia kujiuzulu tu..Hatukubali.
Lazima bunge lichukue uamuzi mgumu. Lazima waziri mkuu apumzike, Baraza la mawaziri livunjwe, serikali iundwe upya na isimamie jukumu la kuwapeleka mahakamani raia na viongozi wote waliohusika ama kufanikisha au kupokea mgao wa...

 

10 years ago

Vijimambo

10 years ago

Vijimambo

HAKA KAUJUMBE KAMENIGUSA WE MWENZANGU VIPI UMESALIMIKA HUKO

LIFE BEGINS AT 40! So how old are you?

Huo ni msemo wanao waingereza.
Today is your future kwa taarifa yako.. Ulipokuwa mdogo ulisema nikiwa mkubwa nitakuwa na gari na nyumba nzuri wazazi wangu wataishi hivi na vile. Je unayo? Je imetokea? Maybe yes. But maybe no.
Kama haijatokea je bado hujawa mkubwa? Basi kama ni mkubwa ujue kuna kitu hujafanya.

Utasema tena nikifika miaka 40 nataka niwe na hiki na kile watoto wangu wasome international skul nk. Subiri uone miaka inavyoenda. Usishangae...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

POLISI: MBASHA JITOKEZE MWENYEWE

Stori: Mwandishi Wetu TAHADHARI! Wakati akiwa hajulikani alipo huku akishtakiwa kwa tuhuma ya ubakaji wa shemejiye, jeshi la polisi Bongo limemtaka mume wa mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha kujisalimisha mwenyewe. Mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, akiwa na mume wake, Emmanuel Mbasha. Habari za ndani zilieleza kuwa polisi wa Kituo cha Tabata-Shule, Dar ndiyo wamemtaka kujisalimisha baada ya binti anayedaiwa...

 

11 years ago

Bongo5

New Video: Baby J — Nimempenda Mwenyewe

Hii ndo Video Mpya kutoka kwa Mwanadada Baby J ngoma inaitwa “Nimempenda Mwenyewe” Video imeongozwa na Adam Juma

 

10 years ago

GPL

WEMA, ZARI JIONGEZE MWENYEWE!

Staa wa filamu Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ akipozi. Kumekuwa na maneno mengi juu ya nani mzuri kati ya staa wa Uganda, Zarinah Hassan ‘Zari’ au ‘The Boss Lady’ na Wema Isaac Sepetu ‘Madam’. Wema ametembea na Diamond na sasa Zari anadaiwa kuchukua uskani. Ijumaa Wikienda limechukua jukumu la kumaliza ubishi ambapo lilibandika swali hilo kwenye mitandao ya kijamii ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Adui wa maendeleo ni Mtanzania mwenyewe

KATIKA taratibu zake za kukabiliana na uhalifu, Jeshi la Polisi huwa lina utaratibu wa kumkamata mlinzi wa eneo ambalo limevunjwa na wizi umetokea. Mlinzi huyu hutumiwa kama mtuhumiwa wa awali...

 

10 years ago

Bongo5

Video: Elani — Hapo Zamani

Kundi Elani Kutoka Kenya wametimiza Mwaka Mmoja wameachia Video mpya kwa mashabiki wao inaitwa “Hapo Zamani”

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani