New Video: Baby J — Nimempenda Mwenyewe
Hii ndo Video Mpya kutoka kwa Mwanadada Baby J ngoma inaitwa “Nimempenda Mwenyewe” Video imeongozwa na Adam Juma
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL14 Jul
10 years ago
Bongo510 Feb
Kutease video/wimbo kabla haujatoka ni sawa na kupiga risasi inayokurudia mwenyewe!
9 years ago
MillardAyo19 Dec
Hii ndio kali yenyewe, unakojolea ukuta alafu mkojo unakurudia mwenyewe (+Video)
Kama una tabia ya kujibana kona alafu unajisaidia haja ndogo, mambo yanaweza kukuharibikia kona yoyote !! Nasubiri kuona hii kitu kwa hamu sana, itapunguza matangazo yaliyoandikwa ‘USIJISAIDIE HAPA, UKIKAMATWA FAINI ….‘ Hii stori nimeipata kwenye ukurasa wa BBC mtandaoni, wamesema Uingereza wako kwenye majaribio ya rangi maalum ambayo haipatani na mkojo kabisa, ikitokea mtu kajibana […]
The post Hii ndio kali yenyewe, unakojolea ukuta alafu mkojo unakurudia mwenyewe (+Video) appeared first...
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Video: Msanii wa bongofleva anasimulia mwenyewe alivyoitiwa Mwizi juzi kati Kinondoni usiku
Msanii wa bongofleva Edu Boy anasema kama sio Mungu basi leo zingekua zimeandikwa habari nyingine, ni baada ya kufananishwa na mmoja wa vijana kwenye kundi Wezi waliofanya uhalifu usiku huohuo maeneo ya Kinondoni Dar es salaam, kisa kizima kipo kwenye hii video hapa chini… Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa […]
The post Video: Msanii wa bongofleva anasimulia mwenyewe alivyoitiwa Mwizi juzi kati Kinondoni usiku appeared first on...
10 years ago
Bongo520 Aug
New Video: Wande Coal — Baby Hello
9 years ago
Bongo504 Nov
Video: Mabantu Ft. Msami Baby — Nifollow
![Mabantu](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Mabantu-300x194.jpg)
Video mpya ya wasanii wa kundi la Mabantu wimbo unaitwa “Nifollow” wamemshirikisha Msami Baby. Video imeongozwa na O-Key Ghettochild.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
9 years ago
Bongo503 Dec
Video: Reekado Banks – Sugar Baby
![don](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/don-300x194.jpg)
Msanii Reekado Banks kutoka Nigeria ameachia video ya ngoma yake mpya inaitwa “Sugar Baby”, Katika video hiyo ameonekana staa wa muziki Nigeria Don Jazz.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
10 years ago
Bongo520 Jan
New Video: Avril ft. Ommy Dimpoz — Hello Baby