Video: Msanii wa bongofleva anasimulia mwenyewe alivyoitiwa Mwizi juzi kati Kinondoni usiku
Msanii wa bongofleva Edu Boy anasema kama sio Mungu basi leo zingekua zimeandikwa habari nyingine, ni baada ya kufananishwa na mmoja wa vijana kwenye kundi Wezi waliofanya uhalifu usiku huohuo maeneo ya Kinondoni Dar es salaam, kisa kizima kipo kwenye hii video hapa chini… Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa […]
The post Video: Msanii wa bongofleva anasimulia mwenyewe alivyoitiwa Mwizi juzi kati Kinondoni usiku appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi13 Nov
NEWZ ALERT:msanii wa bongofleva Geez mabovu afariki dunia mjini Iringa usiku huu.
![](https://3.bp.blogspot.com/-rBbIFEx69LI/VGO81SWEPLI/AAAAAAACuro/EtX8p6Ge5dc/s640/index.jpg)
10 years ago
Mwananchi26 Oct
Msanii anayeteswa na ukiritimba katika tasnia ya Bongofleva
10 years ago
Michuzi15 Sep
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-5dIXJfiM2Yw/VW3hvEUAvYI/AAAAAAADp2c/JU2GmAkheMg/s72-c/Sepp-blatter-006.jpg)
SEPP BLATTER AACHIA NGAZI KUONGOZA CHOMBO KIKUBWA KABISA KINACHOONGOZA MPIRA WA MIGUU DUNIA FIFA LICHA YA JUZI JUZI TU KUSHINDA KWA KISHINDO
![](http://api.ning.com/files/rWr07F5d70uEH2J4Zb3OPOrIs1ov5ED7STaDrOYdZPqJ*Z0TubmsPbWWW4c*WRwxF7qcalEJmxGNV7GsVaXBFVf8wvoZRlOc/BREAKING.gif)
![](http://2.bp.blogspot.com/-5dIXJfiM2Yw/VW3hvEUAvYI/AAAAAAADp2c/JU2GmAkheMg/s640/Sepp-blatter-006.jpg)
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-waEv9_1PJE4/VB6bQgjGdQI/AAAAAAAAheU/dp-wZI3zqPA/s72-c/DIAMOND%2B2.jpg)
Meneja wa Diamond Afunguka Kilicho Sababisha Diamond Asifanye show London Juzi Usiku
![](http://2.bp.blogspot.com/-waEv9_1PJE4/VB6bQgjGdQI/AAAAAAAAheU/dp-wZI3zqPA/s640/DIAMOND%2B2.jpg)
9 years ago
MillardAyo22 Dec
Ninazo hizi video mpya 5 za bongofleva zinazochukua headlines kwenye Youtube…
Kazi yangu ni kuhakikisha haupitwi na chochote kinachonifikia basi hapa ninazo video mpya 5 ambazo zinachukua headlines kwenye mtandao wa Youtube. Zifuatazo ni video mpya za bongo zilizotoka mwezi December 2015 ambazo zimechukua headlines hutakiwi zikupite…. ya kwanza kuitazama ni hii ya Alikiba & Christian Bella iitwayo Nagharamia imewekwa December 19 2015 na mpaka sasa […]
The post Ninazo hizi video mpya 5 za bongofleva zinazochukua headlines kwenye Youtube… appeared first on...
9 years ago
MillardAyo15 Dec
Video 3 fupi za comedy: Dalali muongo wa nyumba, girlfriend asiejua kumpikia boyfriend na mwizi
Kuna vipisi vya sekunde 15 kila kimoja hapa kwenye hii post ya vichekesho/vituko vilivyotengenezwa ambapo hiki cha kwanza hapa chini ni cha dalali wa nyumba ambaye ni mjanjamjanja ila aliumbuka pale alipopeleka Wateja kwenye mtaa wenye nyumba iliyowazi, akawa anawaambia jinsi huo mtaa ulivyo salama lakini kinaachoonekana kwenye video ni tofauti na anachosema. Unapokutana na […]
The post Video 3 fupi za comedy: Dalali muongo wa nyumba, girlfriend asiejua kumpikia boyfriend na mwizi appeared...