Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msanii anayeteswa na ukiritimba katika tasnia ya Bongofleva

Naumia sana naandika nyimbo nyingi lakini sipati nafasi ya kuzirekodi zote na ninazozirekodi inakuwa ngumu kuwafikia mashabiki kwa kuwa kusambaza kunahitaji pesa na wanaohusika kuzipiga redioni nao wanahitaji pesa,”anasema.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Video: Msanii wa bongofleva anasimulia mwenyewe alivyoitiwa Mwizi juzi kati Kinondoni usiku

Msanii wa bongofleva Edu Boy anasema kama sio Mungu basi leo zingekua zimeandikwa habari nyingine, ni baada ya kufananishwa na mmoja wa vijana kwenye kundi Wezi waliofanya uhalifu usiku huohuo maeneo ya Kinondoni Dar es salaam, kisa kizima kipo kwenye hii video hapa chini… Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa […]

The post Video: Msanii wa bongofleva anasimulia mwenyewe alivyoitiwa Mwizi juzi kati Kinondoni usiku appeared first on...

 

10 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:msanii wa bongofleva Geez mabovu afariki dunia mjini Iringa usiku huu.

Msanii wa muziki wa bongofleva (pichani enzi za uhai wake )Ahmed Ally Upete ambaye pia alitambulika kwa jina la kisanii  kama Geez Mabovu,emefariki Dunia mnamo majira ya saa moja usiku wa leo,taarifa zinaeleza kuwa Geez amekutwa na umauti nyumbani kwao mjini Iringa.Taarifa kamili tutawaletea kadiri ya zitakavyokuwa zikiingia,MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMEN

 

10 years ago

Dewji Blog

BASATA yaomboleza kifo cha msanii nguli wa tasnia ya muziki wa Dansi nchini Shem Ibrahim Kalenga

Shem Kalenga

Marehemu Shem Ibrahim Kalenga enzi za uhai wake.

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za msiba wa msanii nguli wa tasnia ya muziki wa Dansi nchini Shem Ibrahim Kalenga

“ Baraza limestushwa na kuhuzunishwa sana kutokana na taarifa ya kifo hiki cha Shem Ibrahim Kalenga ambaye mchango wake katika muziki wa Dansi ni mkubwa mno na  unahitajika sana, pengo aliloliacha ni kubwa kwani ubunifu wake bado unahitajika katika tasnia hii.” Baraza linatoa pole kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Mchango wa Proin Promotions ltd katika Kukuza tasnia ya filamu Nchini

Unapozungumzia tasnia ya filamu nchini basi huwezi kuacha kuzungumzia makampuni ya kusambaza kazi za filamu Tanzania na Nje ya Tanzania. Kuna Makampuni mengi sana ambayo yanasambaza kazi za filamu ndani na Nje ya Tanzania lakini Katika Makampuni hayo huwezi kuacha Kuitaja Kampuni ijulikanayo kama PROIN PROMOTIONS LTD yenye makao yake Mikocheni na Mabibo.Proin Promotions Ltd ni kampuni ya kutengeneza na kusambaza filamu za Kitanzania ndani na nje ya Tanzania ambapo Mwaka huu mwezi Agasti 30...

 

9 years ago

Bongo Movies

Chilwa Kutoa Upapa Kula Dagaa Katika Tasnia ya Filamu

TUPO katika mchakato wa uchaguzi wa vyama vinavyounda shirikisho la filamu Tanzania (TAFF) tukiangazia uchaguzi wa chama cha waigizaji Taifa TDFAA huku kila mgombea akijinadi kwa madaha na leo hii FC iliongea na Salum Hussein Chilwa akiitaka nafasi hiyo na kumwaga sera zake kwa wapiga kura wake.

Salum Chilwa akiwa kazini

Salum Chilwa akiwa kazini

Chilwa ambaye alikuwa makamu mwenyekiti wa chama cha Waigizaji Kinondoni anasema anatosha kugombea uenyekiti Taifa kwania ana uzoefu mkubwa na anakuja kwa ajili ya...

 

5 years ago

Michuzi

Waziri Hassunga aahidi ushirikiano na TAHA katika kuimarisha tasnia ya horticulture

Waziri wa kilimo Mhe. Japhet Hasunga ameihaidi menejimenti ya Tanzania Horticultural Association (TAHA) ushirikiano katika kukuza tasnia ya horticulture nchini Ahadi hiyo imetolewa na mhe.Hasunga alipotembelea ofisi za makao makuu ya taasisi hiyo zilizoko mkoani Arusha 
Akitoa maelezo mafupi kuhusu tasnia hiyo kwa Mhe. Waziri, Afisa Mkuu Mtendaji wa TAHA Dkt. Jacqueline Mkindi amemweleza waziri jitihada zilizofanywa na taasisi hiyo katika kukuza tasnia ya horticulture tangu kuanzishwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani