Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SEPP BLATTER AACHIA NGAZI KUONGOZA CHOMBO KIKUBWA KABISA KINACHOONGOZA MPIRA WA MIGUU DUNIA FIFA LICHA YA JUZI JUZI TU KUSHINDA KWA KISHINDO


Kutoka na tuhuma za rushwa ilichokikumba chama cha soka duniani FIFA rais wake ajiuzulu. Habari zaidi kuwaletea kwaiyo endelea kukodolea macho blog yako ya jamii Vijimambo.

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

MillardAyo

Hii ndio adhabu ya FIFA kwa Sepp Blatter na Michel Platini baada ya uchunguzi kufanyika …

Baada ya uchnguzi wa kina kufanyika na wachunguzi wa shirikisho la soka ulimwenduni FIFA wameamua kutoa adhabu ya kuwafungia miaka nane kutojihusisha na masuala ya soka aliyekuwa Rais wa soka ulimwenguni FIFA Sepp Blatter na Rais wa shirikisho la soka barani Ulaya Michel Platini. Blatter na Platini wamekumbana na adhabu hiyo baada ya kukutwa na […]

The post Hii ndio adhabu ya FIFA kwa Sepp Blatter na Michel Platini baada ya uchunguzi kufanyika … appeared first on TZA_MillardAyo.

 

9 years ago

BBCSwahili

Rais wa Fifa Sepp Blatter achunguzwa

Rais Fifa Sepp Blatter amehojiwa na afisi yake kupekuliwa na viongozi wa mashtaka nchini Uswizi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Rais wa FIFA Sepp Blatter kujiuzulu

Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter amesema kuwa atajiuzulu kama rais wa shirikisho hilo kufuatia kashfa ya ufisadi.

 

10 years ago

BBCSwahili

Fifa: Sepp Blatter kung’atuka Desemba

Raisi wa shirikisho la kandanda duniani Sepp Blatter ataachia ngazi ifikapo Decemba 16

 

10 years ago

Africanjam.Com

SEPP BLATTER NA MAOFISA SABA WA FIFA MATATANI

Ikiwa ni saa chache baada ya Rais wa Shirikisho la soka duniani FIFA, Sepp Blatterkutangaza kuwa atajiuzulu wadhifa huo kuna habari  nyingine zinamuhusu Rais huyo.
Rais huyo ambaye alipewa madaraka ya kuongoza Shirikisho hilo siku chache zilizopita ikiwa ni awamu ya tano, kingine kilichochukua Headlines kwa sasa ni ishu ya Sepp Blatter kufanyiwa uchunguzi na maafisa wa Marekani ili kujua kama anahusika na tuhuma za rushwa ambazo zinawahusu maafisa wengine saba wa FIFA.Hata...

 

9 years ago

Bongo5

Issa Hayatou achukua nafasi Sepp Blatter FIFA

Kiongozi wa shirikisho la soka barani Afrika, Issa Hayatou kutoka Cameroon amepewa jukumu la kuongoza shirikisho la soka duniani Fifa kwa muda. Hayatou atachukua nafasi hiyo kufuatia kusimamishwa kazi kwa Rais wa Fifa Sepp Blatter kwa muda wa siku 90 na Kamati ya Maadili ya shirikisho hilo, FIFA linalosimamia soka duniani limesema kupitia taarifa. Hayatou, […]

 

10 years ago

Africanjam.Com

RAISI WA FIFA SEPP BLATTER AJIUZULU KUFUATIA KASHFA YA UFISADI



Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Sepp Blatter amejiuzulu kama rais wa shirikisho hilo kufuatia kashfa ya ufisadi.Akitangaza kujiuzulu,kwake Sepp Blatter mwenye umri wa miaka 79 ameitisha kikao cha dharura mara moja ili kumchagua rais mpya.Blatter alichaguliwa tena wiki iliopita licha ya maafisa wake saba wakuu kukamatwa siku mbili kabla ya uchaguzi .
Lakini alisema kuwa mamlaka yake hayaungwi mkono na kila mtu. Shirikisho la FIFA lilikumbwa na mgogoro wa kukamatwa kwa maafisa wake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani