Issa Hayatou achukua nafasi Sepp Blatter FIFA
Kiongozi wa shirikisho la soka barani Afrika, Issa Hayatou kutoka Cameroon amepewa jukumu la kuongoza shirikisho la soka duniani Fifa kwa muda. Hayatou atachukua nafasi hiyo kufuatia kusimamishwa kazi kwa Rais wa Fifa Sepp Blatter kwa muda wa siku 90 na Kamati ya Maadili ya shirikisho hilo, FIFA linalosimamia soka duniani limesema kupitia taarifa. Hayatou, […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili26 Sep
Blatter ampandisha cheo Issa Hayatou
9 years ago
Michuzi08 Oct
Issa Hayatou kuongoza FIFA kwa muda
![Issa Hayatou](https://ci4.googleusercontent.com/proxy/4lpWBXMQKFBDxiCbbL7HZObZJITMPLvwAy4hwsPrWqzTbaeG0ECBC3nZa68MPmnmokYG_2SRxaTL1GlvrX00p0bc94FBAszIWRTQyxkX2KyK2jG109ijg3UCP76itF8PFEdBRF1u3VdPDbJytW3Ofd5NRZd61Px5jHPMZJ9ub8bLM1lOz_1KesHxfxmIfyWZx3Qa0YkFmg=s0-d-e1-ft#http://ichef.bbci.co.uk/news/ws/660/amz/worldservice/live/assets/images/2014/11/03/141103144226_issa_hayatou_caf_512x288_afp.jpg)
Kiongozi wa shirikisho la soka barani Afrika Issa Hayatou (pichani) kutoka Cameroon amepewa jukumu la kuongoza shirikisho la soka duniani Fifa kwa muda.
Hayatou atachukua usukani kufuatia kusimamishwa kazi kwa Rais wa Fifa Sepp Blatter kwa muda wa siku 90 na Kamati ya Maadili ya shirikisho hilo,Shirikisho hilo linalosimamia soka duniani limesema kupitia taarifa.Hayatou, aliyeongoza CAF tangu 1988, atachukua usukani kwa mujibu wa sheria za Fifa, akiwa ndiye makamu wa rais katika kamati tendaji...
9 years ago
BBC08 Oct
Issa Hayatou: Fifa's stand-in man at the top
9 years ago
Mtanzania09 Oct
Hayatou amrithi Blatter Fifa
ZURICH, USWISI
RAIS wa Shirikisho la Soka Afrika (CAF), Issa Hayatou, ameteuliwa kuongoza Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) kwa muda baada ya rais wa sasa, Sepp Blatter,kusimamishwa kazi.
Hayatou raia wa Cameroon, amefungua historia mpya barani Afrika kwa kiongozi wa soka barani humu kupata nafasi ya juu kuongoza shirikisho hilo.
Blatter alisimamishwa kazi juzi usiku na Kamati ya Maadili ya Fifa kwa siku 90 (miezi mitatu) sambamba na Katibu Mkuu, Jerome Valcke na Makamu wa Rais, Michel...
9 years ago
BBCSwahili25 Sep
Rais wa Fifa Sepp Blatter achunguzwa
10 years ago
BBCSwahili02 Jun
Rais wa FIFA Sepp Blatter kujiuzulu
10 years ago
BBCSwahili10 Jun
Fifa: Sepp Blatter kung’atuka Desemba
10 years ago
Africanjam.Com![](http://4.bp.blogspot.com/-v9Wwq3ayhKU/VW8r6mpRq_I/AAAAAAAAB5c/j561VoJAXTU/s72-c/blatter.jpg)
SEPP BLATTER NA MAOFISA SABA WA FIFA MATATANI
![](http://4.bp.blogspot.com/-v9Wwq3ayhKU/VW8r6mpRq_I/AAAAAAAAB5c/j561VoJAXTU/s400/blatter.jpg)
Rais huyo ambaye alipewa madaraka ya kuongoza Shirikisho hilo siku chache zilizopita ikiwa ni awamu ya tano, kingine kilichochukua Headlines kwa sasa ni ishu ya Sepp Blatter kufanyiwa uchunguzi na maafisa wa Marekani ili kujua kama anahusika na tuhuma za rushwa ambazo zinawahusu maafisa wengine saba wa FIFA.Hata...