Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kutease video/wimbo kabla haujatoka ni sawa na kupiga risasi inayokurudia mwenyewe!

Kukua kwa teknolojia ya mawasiliano ya habari kumerahisisha mambo mengi mno. Mitandao ya kijamii imegeuka kuwa vitu muhimu kwa watu kuwasiliana kwa urahisi zaidi kuliko zamani. Maendeleo hayo pia yamekuja na faida kubwa kwenye kiwanda cha burudani. Mastaa wanawasiliana na mashabiki wao kwa urahisi zaidi. Shabiki amepewa fursa ya kufahamu msanii anayempenda anafanya nini, anaachia […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Mashabiki walumbana kuhusu video ya Alikiba ‘Mwana’, kama ni sawa au si sawa kwa video kutofuata maudhui ya wimbo

Wiki moja baada ya video ya Alikiba ‘Mwana’ iliyofanyiika Afrika Kusini na kuongozwa na Godfather, itoke, kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na video hiyo. Baadhi yao wameonekana kuifurahia na wengine wameonekana kutoridhishwa na baadhi ya vitu. Baadhi ya waliotoa maoni wamesema kuwa walitegemea kuona video yenye script inayoendana na maudhui ya wimbo ili kumuwezesha hata […]

 

11 years ago

Bongo5

Audio: Diamond aonjesha kipande cha wimbo wake ambao haujatoka ‘Nitampata wapi’

Ni mara nyingi Diamond Platnumz huwa anasema kuwa ana nyimbo nyingi sana alizoisha rekodi na bado anaendelea kurekodi kila kukicha, lakini sio nyimbo zote alizonazo zitapata nafasi ya kutoka kama official singles. Kupitia Instagram yake hit maker wa ‘Number 1’ ameamua kuwaonjesha kidogo mashabiki wake wimbo mmoja ulioko kwenye maktaba yake. “wakati Mwingine natamanigi hata […]

 

11 years ago

Mwananchi

DIRA: Tulipaswa kupiga kura ya Muungano kabla ya Katiba Mpya

>Mpambano mkali kati ya Umoja wa Katiba ya  Wananchi (Ukawa) na Chama Cha Mapinduzi  (CCM) unaendelea, huku suala la kupata Katiba mpya likionekana kama liwekwa kando kwa muda.

 

9 years ago

Bongo5

Barnaba: Video ya wimbo wangu na Jose Chameleone itachelewa kwasababu ninauogopa wimbo

Barnaba c

Wimbo mpya wa Barnaba Classic aliomshirikisha staa wa Uganda, Jose Chameleone ndio collabo ya kwanza ya kimataifa kwa Barnaba.

Barnaba c

Barnaba ambaye anauachia wimbo huo ‘Nakutunza’ leo November 9, amesema kuwa video ya wimbo huo itachelewa kutokana na kwamba yeye binafsi anauogopa wimbo huo, akimaanisha ni wimbo mkubwa hivyo anaogopa kukosea.

“Video yangu imechelewa kwasababu wimbo huu ndio collabo yangu ya kwanza inayonipeleka International na ndio collabo yangu kubwa” alisema Barnaba kupitia...

 

11 years ago

Bongo5

New Video: Baby J — Nimempenda Mwenyewe

Hii ndo Video Mpya kutoka kwa Mwanadada Baby J ngoma inaitwa “Nimempenda Mwenyewe” Video imeongozwa na Adam Juma

 

11 years ago

GPL

9 years ago

Bongo5

Video: Saly — Sawa

Screen-Shot-2015-11-09-at-7.25.53-PM

Video mpya ya Mwanadada Saly wimbo unaitwa “Sawa”. Video imeongozwa na Godfred

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

5 years ago

Bongo5

Video: Msako waendelea kwa muuaji wa pasaka aliyempiga risasi mzee mpita njia na kuweka video ya tukio Facebook

Msako mkali unaendelea kumnasa Steve Stephens, 37 wa Cleveland, Ohia nchini Marekani, aliyehusika kwenye tukio la mauaji ya mzee wa miaka 74, Robert Godwin.

Muuaji huyo alidai kufanya kitendo hicho baada ya kukorofishana na mpenzi wake, na hasira zake aliamua kuzihamishia kwa mzee mpitanjia huyo huku akirekodi mauaji hayo na kuweka video Facebook.

Godwin, mfanyakazi wa zamani wa kiwandani na fundi mechanic, ana watoto 10 na wajukuu 14.

Mtoto wa kike, Tonya Godwin-Baines ameiambia CNN...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani