Hakijaeleweka Simba SC
Ni presha kila kona Simba. Ndivyo unavyoweza kusema wakati kamati ya utendaji ya klabu hiyo ikikutana leo, kocha Patrick Phiri ameanza upya kuwanoa wachezaji kwa kuwapeleka ufukweni ili kujenga stamina.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania29 May
Simba, Messi hakijaeleweka
NA ABDUCADO EMMANUEL, DAR ES SALAAM
MGOGORO wa kimkataba wa winga wa timu ya Simba, Ramadhan Singano ‘Messi’ na timu yake hiyo umezidi kutikisa baada ya pande hizo mbili kuendelea kuvutana.
Messi analalamikia mkataba wake kughushiwa kwa kuongezwa mwaka mmoja zaidi unaomalizika mwakani, tofauti na ule wa awali aliosaini yeye unaofikia tamati Julai mwaka huu.
Uongozi wa Simba umekuwa ukikana madai hayo ukidai Messi alisaini mwenyewe mkataba huo wa mwaka mmoja, kabla ya ule wa awali kumalizika...
10 years ago
Mwananchi15 Jul
Ukawa hakijaeleweka
10 years ago
Mwananchi15 May
Hakijaeleweka, Burundi bado tete
9 years ago
Mwananchi27 Oct
Matokeo jimbo la Kinondoni hakijaeleweka