Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Matokeo jimbo la Kinondoni hakijaeleweka

Wakati matokeo ya ubunge katika jimbo la Kinondoni yakisubiriwa, umati vijana wa vyama vinavyounda Umoja wa Katiba (Ukawa) wamekusanyika nje ya kituo cha kujumlishia matokeo hayo huku wakiimba nyimbo  kushinikiza yatangazwe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo Movies

Steve Nyerere Atikisa Jimbo la Kinondoni

Staa wa Bongo Movies, Steven Mangere ‘Nyerere’ amewaomba wanawake wasihadaike na kanga na vitenge wakipewa na baadhi ya wagombea wa nafasi mbalimbali za uongoziili wawachague.

Steve aliitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam, alipokuwa akitangaza nia yake ya kugombea ubunge jimbo la Kinondoni kupitia tiketi ya chama cha mapinduzi (CCM) nakuwahimiza vijana wa Kinondoni wajitokeze kujiandikisha kwenye daftari la kudumu ili waweze kuchagua viongozi watakaoweza kuifikisha Kinondoni sehemu...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKENE AJITOSA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI

Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM na Mwanasheria wa siku nyingi, Emmanuel Tamila Makene (kulia) akipokea fomu za kugombea kuteuliwa kugombea kuteuliwa kuwania Ubunge Jimbo la Kinondoni katika uchaguzi Mkuu utakao fanyika Oktoba 25 Mwakahuu nchini kote. Makene ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Kinondoni amechukua fomu hiyo leo, Ofisi za Chama Kinondoni Mkwajuni Dar es Salaam. Makene akisaini kitabu kabla ya kuchukua fomu hiyo leo katika Ofisi za CCM Wilaya ya Kinondoni.

 Makene...

 

10 years ago

GPL

STEVE NYERERE ATANGAZA NIA YA KULIWANIA JIMBO LA KINONDONI

Mwigizaji maarufu Steven Mengere ‘Steve Nyerere’, akitangaza nia yake ya kugombea Ubunge katika Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam, jana kwenye Viwanja vya CCM Kinondoni Bwawani. Mmoja wa viongozi wa Kata  hiyo akimkaribisha Steve Nyerere kwenye jimbo hilo. Steve Nyerere akiongea jambo na mmoja wa viongozi wa wanawake waliojitokeza… ...

 

10 years ago

Michuzi

MWANASHERIA MAKENE AREJESHA FOMU KUGOMBEA JIMBO LA KINONDONI

Mwansheria na Kada wa Chama cha Mapinduzi, Emmanuel Makene (katikati) akiwa ameambata na mkewe Dk. Sarah Makene kurejesha fomu za kuomba ridhaa ya wana CCM Kinondoni kuteuliwa kugombea Ubunge katika Jimbo la Kinondoni. Anaepokea fomu hizo ni Katibu wa CCM Wilaya ya Kinondoni, Athuman Sheshe. Wengine ni wapambe wa mgombea huyo waliomsindikiza kurejesha fomu hizo leo.Emmanuel Tamila Makene ambae ni Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya na Katibu wa Usalama na Maadili taifa wa Umoja wa vijana...

 

9 years ago

Vijimambo

MH. IDDI AZZAN AZINDUA KAMPENI JIMBO LA KINONDONI JIJINI DAR

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge (kushoto) akimtambulisha Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya CCM, Mh. Iddi Azzan(kulia) mbele ya umati wa wanachama wa chama hicho na wananchi waliofurika katika viwanja vya  CCM Mwinjuma Mwananyamala jana jioni.a , wakati wa uzinduzi wa kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, katika jimbo hilo, jijini Dar es Salaam.(Picha na Geofrey Adroph waPamoja blog)Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa...

 

10 years ago

Bongo5

Steve Nyerere kugombea ubunge jimbo la Kinondoni mwaka 2015

Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steve Nyerere ametangaza nia yake ya kugombea ubunge mwaka 2015 katika jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam kwa kupitia tiketi ya CCM. Mwenekiti wa bongomovie Steve Nyerere Akizungumza na Bongo5, Steve Nyerere amesema yupo kamili na amejipanga kufanya hivyo ifikapo mwakani. “Ukiuna chereko cherEko ujue mambo yameiva, yeah nitagombea […]

 

11 years ago

Michuzi

MANISPAA YA KINONDONI YAENDELEA NA UTEKELEZA WA ILANI YA CCM JIMBO LA KAWE

 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam, wakiwa kwenye Jengo la mapokezi ya wagonjwa (OPD) ambalo linajengwa katika eneo la Mabwepande, likiwa ni sehemu ya Hospitali ya Jimbo la Kawe katika Manispaa ya Kinondoni, Dar es Salaam, walipotembelea kiradi mbalimbali ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2010-2015 katika jimbo la Kawe. Meya wa Manispaa ya Kinondoni Yussuf Mwenda, akizungumza na watumishi wa Manispaa hiyo yeye na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM...

 

9 years ago

Dewji Blog

Iddi Azzan azindua kampeni Jimbo la Kinondoni jijini Dar

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge (kushoto) akimtambulisha Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya CCM, Mh. Iddi Azzan(kulia) mbele ya umati wa wanachama wa chama hicho na wananchi waliofurika katika viwanja vya  CCM Mwinjuma Mwananyamala jana jioni, wakati wa uzinduzi wa kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 25, katika jimbo hilo, jijini Dar es Salaam.(Picha na Geofrey Adroph wa Pamoja blog)

Mgombea Ubunge Jimbo la Kinondoni kwa...

 

10 years ago

Michuzi

QS Muhonda arudisha Fomu ya kuomba kugombea Ubunge Jimbo la Kinondoni

 QS J Muhonda ambaye ambaye anasimamia kazi za wasanii kupitia kampuni yake ya QS leo alikua akirudisha Fomu ya Kuomba kugombea ubunge katika Jimbo la Kinondoni.
QS amesema kuwa ameamua kuchukua fomu na kugombea nafasi hiyo ili kuleta maendeleo ya jimbo hilo na pia anauwezo na ufanisi mkubwa wa kuleta maendeleo katika jimbo hilo la Kinondoni, Lakini pia una ushawishi mkubwa kwa vijana ambao ni taifa la leo kuwafanya kuwa nguvu kazi ya Taifa hususan vijana wengi wa kinondoni ambao hawana ajira...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani