Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hakuna ajira au vijana hawaajiriki?

Ajira kwa vijana ni hoja kubwa katika nchi yetu tena imeshika kasi hivi karibuni kutokana kuanza kwa harakati za uchaguzi mkuu. Kila mgombea anajaribu kuwaaminisha Watanzania kuwa ajira ni tatizo kubwa kwa vijana na yeye atalipatia ufumbuzi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Vijana tujifunze ujasiriamali ajira hakuna

Serikali nyingi duniani, ikiwamo ya Tanzania zinahaha kuhakikisha zinawapa ajira vijana wake wanaotaka shuleni na vyuoni. Lakini pamoja na juhudi hizo hali bado tete.

 

10 years ago

Michuzi

WAKALA WA AJIRA TANZANIA WAELEZA MIKAKATI YAO YA KUWASAIDIA VIJANA WANAOKUBWA NA JANGA LA KUKOSA AJIRA

Afisa Habari wa Wakala wa Ajira Tanzania (TaESA) Jamilah Mbarouk akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuelezea mkakati wao wa kuanzisha mafunzo ili kuweza kuwasaidia vijana wahitimu ili wakabiliane na soko la ajira, Wakala umekuwa ukitoa mafunzo ya namna ya kushindania fursa za ajira. Mafunzo haya yamevutia watafutakazi wengi ambao tayari wako sokoni na walioko vyuoni. Aidha mafunzo haya yamewabadilisha vijana wengi waliohudhuria kuhusu suala zima la kuajiriwa na...

 

10 years ago

Michuzi

VIJANA WAFURIKA BANDA LA TBL MAONESHO YA AJIRA KWA VIJANA DAR

 Vijana kutoka vyuo mbalimbali wakiwa katika semina ya jinsi ya kutafuta ajira kwenye taasisi mbalimbali wakati wa Maonesho ya Ajira kwa Vijana, kwenye Ukumbi wa Don Bosco, Upanga, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu wakijaza kwenye fomu za kutafuta ajira katika Banda la Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), wakati wa Maonesho ya vijana wa vyuo ya kupata fursa ya ajira katika taasisi mbalimbali  (Careers Fair 2014) katika Ukumbi wa Don Bosco, Upanga, Dar es Salaam....

 

11 years ago

Bongo5

Siku ya Vijana Duniani: ‘Vijana na Afya ya Akili’, Tusipokabiliana na ukosefu wa ajira na kupewa nguvu ya maamuzi, hatutaweza

Miaka 15 iliyopita, Umoja wa Mataifa uliitangaza August 12 kila mwaka, kuwa ‘Siku ya Vijana Duniani’ ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema ‘Vijana na Afya ya Akili’. Kwa mujibu wa andiko kutoka Umoja wa Mataifa, asilimia 20 ya vijana duniani kote hupata tatizo linalohusiana na afya ya akili kila mwaka. Hatari zaidi hutokea katika […]

 

10 years ago

Habarileo

‘Hakuna mchakato ajira jeshi la Polisi Z’bar’

KAMISHNA wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamdan Omar Makame ametoa tahadhari kwa wananchi kwamba hakuna mchakato wa ajira katika Jeshi la Polisi kwa upande wa Zanzibar na kuwataka watu kujiepusha na utapeli huo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uhusiano wa mwajiri, mfanyakazi endapo hakuna mkataba wa ajira — 2

WIKI iliyopita nilisema kwamba ili kuhakikisha mambo ya msingi yanawekwa wazi, Sheria ya Ajira na Uhusiano Kazini inamtaka mwajiri kumpa mfanyakazi maelezo ya ajira yake kwa maandishi baada ya siku...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uhusiano wa mwajiri, mfanyakazi endapo hakuna mkataba wa ajira

NGUZO na msingi wa uhusiano wa kiajira kati ya mfanyakazi na mwajiri ni mkataba wa ajira. Mkataba wa ajira unaweza kuwa wa mdomo au wa maandishi. Ili kuhakikisha mambo ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hakuna tatizo la ajira nchini bali fikira bila tafakuri

KWA sasa kilio kilichotanda nchini ni cha ukosefu wa ajira. Vijana wengi, hasa wanaomaliza elimu ya juu katika vyuo mbalimbali, wanalia na wanachokiita ukosefu wa ajira. Wao wanataka wakimaliza masomo...

 

11 years ago

Habarileo

‘Wahitimu vyuo vikuu hawaajiriki’

Mkurugenzi wa Elimu ya Juu wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Sylivia TemuUBORA hafifu wa wahitimu wa vyuo vikuu kiasi cha kusababisha wengine kutoajirika, vimeigusa serikali na sasa inatarajia kuja na mpango wa kukabili hali hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani